Nini kinasababisha wanawake kutokwa na utando mweupe wakati wa kufanya ngono?

n pm nba ake zake nmshauri dawa ndan ya lisaa 1 tuu yuko fresh!!
 
nilikuona mjanja kumbe bado fala
Changamsha genge hiyo mkuu kwa hiyo unategema mie Zero IQ mpiga papuchi maarufu nisijue ata hili ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo kesi ya mkeo ilikuwa ni candidiasis na ndio maana alipewa hivyo vidonge vya kuweka ukeni.
 
Ni kweli mkuu, Huu uzi nimeuleta hapa ili na Mimi nisaidiwe sababu kuna wazoefu humu ambao wamekutana na hali kama hii.

Ni vibaya kuanza kumshambulia mtu na sio kumpa ushauri nini cha kufanya.
Hiyo ndi Dalili ya UBORA WA KAZI YAKO KWA MWENZA WAKO(Unajua kukandamiza)
 


Mkuu umenifundisha sana hapo,ni kweli kabsi mwenyew huwa nikikutana na wife kwa mara ya kwanza huwa upo mwingi sana,na tukiendelea kufanya kwa mfululizo unapotea kbs,mim mke wangu huwa anakuja kila likizo,kumbe saiz akija nitacheki usipotoka basi alikuwa anapigwa.
 

Nenda hospitali kwa ma gynecologist huko unaweza kupata suluhisho la kudumu ma kujua what is wrong with your partner. Possible ameshambuliwa na vagina fungus.......wahini broo
 
Kama hauna harufu kali wala haunati, hongera kwa kazi.
 
Inanikumbusha mbali sana,nilikuwa na goma moja,kila nikilipiga kazi linatoa huo ute mweupe ukeni.Tena kwa wingi sana na kulegea mwili mzima.Lile goma lilinipenda sana kwenye mchezo na lilikuwa linataka kila mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…