Nini kinasababisha wanawake kutokwa na utando mweupe wakati wa kufanya ngono?

Nini kinasababisha wanawake kutokwa na utando mweupe wakati wa kufanya ngono?

n pm nba ake zake nmshauri dawa ndan ya lisaa 1 tuu yuko fresh!!
 
nilikuona mjanja kumbe bado fala
Changamsha genge hiyo mkuu kwa hiyo unategema mie Zero IQ mpiga papuchi maarufu nisijue ata hili ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Isha mtokea wife wkt akiwa mjamzito, tulienda kwa dk akampa vidonge na mfano wa kijiti cha plastic ili awe anaingiza vidonge vile. Kwa kuwa kilimsababishia maumivu, akanishauri niingize kwa kutumia dude langu hadi dozi kuisha yakawa hayatoki tena. Lkn pia nilihisi yanatokea kwa wife kupenda kutafuna mchele, nikampiga bit asitafune tena.
Hiyo kesi ya mkeo ilikuwa ni candidiasis na ndio maana alipewa hivyo vidonge vya kuweka ukeni.
 
Ni kweli mkuu, Huu uzi nimeuleta hapa ili na Mimi nisaidiwe sababu kuna wazoefu humu ambao wamekutana na hali kama hii.

Ni vibaya kuanza kumshambulia mtu na sio kumpa ushauri nini cha kufanya.
Hiyo ndi Dalili ya UBORA WA KAZI YAKO KWA MWENZA WAKO(Unajua kukandamiza)
 
Utandu kama maziwa ya mtindi ni kwa mwanamke ambaye hajafanya ngono kwa siku kadhaa.Kama anafanya mara kwa mara huo haupo.Hamna cha uchafu,ukiwa na mwenza wako hujakutana nae mwezi,ukaja kukutana nae na akawa huu utandu haupo ujue alikua anafanya kama kawaida.Hata mkeo mkikaa wiki lazima utaukuta huo utandu,ila kama anafanya kila siku au mara kwa mara hautakuwepo


Mkuu umenifundisha sana hapo,ni kweli kabsi mwenyew huwa nikikutana na wife kwa mara ya kwanza huwa upo mwingi sana,na tukiendelea kufanya kwa mfululizo unapotea kbs,mim mke wangu huwa anakuja kila likizo,kumbe saiz akija nitacheki usipotoka basi alikuwa anapigwa.
 
Thankx Mkuu kama hii ni kweli japo bado nina wasiwasi na maelezo yako.

Zamani we used to sex na alikua hatokwi na utoko mwingi kiasi hiki but kwa hivi karibuni ndo nimeanza kuona mwingi zaidi kiasi kwamba hata yeye mwenyewe anashangaa sana na anaona aibu kwa hali inayomtokea.

Nilimshauri akakubali tukaenda hospital kucheck kama ana UTI ila hana kitu.

Lakini bado nina mashaka kama hii ni hali ya kawaida au ni ugonjwa ambao anao.

Nenda hospitali kwa ma gynecologist huko unaweza kupata suluhisho la kudumu ma kujua what is wrong with your partner. Possible ameshambuliwa na vagina fungus.......wahini broo
 
Inanikumbusha mbali sana,nilikuwa na goma moja,kila nikilipiga kazi linatoa huo ute mweupe ukeni.Tena kwa wingi sana na kulegea mwili mzima.Lile goma lilinipenda sana kwenye mchezo na lilikuwa linataka kila mara.
 
Back
Top Bottom