Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Lipa madeni wasiwasi hautakupata tena
Hahah...JF kama JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipa madeni wasiwasi hautakupata tena
Na hii imekuja ni baada ya kutoka mikoa ya kusini kuja hapa mjini Kati kwenye makao mapya ya nchi. Wengine wanasema ni kutokana na kubadili mazingira ila hata sijajua.
Nimeenda hospital zaidi ya mara 2 na kucheki viashiria vinavyoweza kusababisha hii hali lakini kila kitu kipo sawa ingawa mara ya pili nikakuta ninamalaria ,baada ya kutibu naona hali haijarejea kama nilivyokuwa maeneo yangu ya mwanzo.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Chochote kinachokuja mbele yangu au nikiwa na task flani.Huwa unakuwa na wasiwasi juu ya jambo gani, maana lazima kuwe na trigger...
Wakuu nawasalimu Kwa jina la Jamuhuri.
Nini kinasababisha kuwa na wasiwasi ya kupita kiasi na je huu ni ugonjwa gani na tiba yake ikoje?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
japo unaongea shortly ila unaonekana unamadini mengi sana ungetoa maelezo kwa kina ungesaidia watu wengi sana. NawasilishaHusababishwa na overthinking..na dawa pekee ni kupractice Meditation,utakuwa free.. unless utasuffer mnoo
Nina tatizo kama hilo na nimewahi kwenda huko ulipomshauri jamaa aende lakini nimeishia kushindiliwa midonge ya kunifanya nilale muda wote yaani nilikuwa najiona naenda kuwa zombi,nimeacha kwenda maana sikuona msaada wowote.Iyo ni ugonjwa wa AKILI unaitwa ANXIETY UNAHISI WATU WANATAKA KUKUDHRU KUMBE WEWE UBONGO WAKO NDIO UNA TATIZO AU KAMA ULI EXPERIENCE SITUATION MBAYA LETS SAY AJALI NA UKAPONA WENGINE WAKAFA SASA KILA UKIFIKIRIA SONO A INAANZA NENDA KAONANE NA PSYCHRIATIC UMWELEZE HOFU YAKO INASABISHWA NA NINI ATAKUPA MSAADA
Unahitaji tiba ya akili (mind) na siyo ya mwili (body). Nenda kwa madaktari wa tiba ya akili. Utakuwa sawa ndugu.Wasiwasi na kujisikia kizunguzungu wakati mwingine, nimeenda hospitali kucheki vipimo mbalimbali vikiwepo Full blood picture, na MRI ,ila bado tatizo halijagundulika.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
DuhWakuu nawasalimu Kwa jina la Jamuhuri.
Nini kinasababisha kuwa na wasiwasi ya kupita kiasi na je huu ni ugonjwa gani na tiba yake ikoje?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Inaweza kuwa ni swala la kuzaliwa au trauma event inakuwa inajirudia ,hii ni Afya ya ajili ambayo inaupana wake na mrejesho wa maswali Kwa muhusika kusaidia kujua chanzo Cha Hali hiyo.Wakuu nawasalimu Kwa jina la Jamuhuri.
Nini kinasababisha kuwa na wasiwasi ya kupita kiasi na je huu ni ugonjwa gani na tiba yake ikoje?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
True!! Mazoezi sawa but issue kubwa mi kuji keep busy. Hiyo hali sure itapungua.Fanya mazoezi sana kisha jaribu kujikeep busy,usipende kukaa peke yako,jichanganye na watu.
Sasa ulipata suluhisho gani?? Au bado haujapona?????Nina tatizo kama hilo na nimewahi kwenda huko ulipomshauri jamaa aende lakini nimeishia kushindiliwa midonge ya kunifanya nilale muda wote yaani nilikuwa najiona naenda kuwa zombi,nimeacha kwenda maana sikuona msaada wowote.
Zinapatikana wapi hizi dawa.Inaweza kuwa ni swala la kuzaliwa au trauma event inakuwa inajirudia ,hii ni Afya ya ajili ambayo inaupana wake na mrejesho wa maswali Kwa muhusika kusaidia kujua chanzo Cha Hali hiyo.
Kama unataka Tiba Halisi basi tumia miti dawa katika kundi la nervine herbs hizi hufanya repair katika mfumo wa nevu za fahamu ubongo na UTI wa mgongo.kwa magonjwa ya kuzaliwa au kudevelop ukubwani
Ila matizo yapo ktk namna tofauti,
Sema kwako tafuta
1. St.Johns wart ni dawa Bora Kwa wasiwasi , melancholic au usononi upweke na mfano wake.
2. Hope( kiungo ktk bia) hii ni nervine herb pia ambayo ni nzuri Kwa Hilo swala.
3. Catnip - hii ni best Kwa watoto wadogo,pia watoto wachanga wanaolia usiku.
Zote hizo hazina uteja au habit forming kama antidepressants ambazo kama ukitumia Kwa muda mrefu huleta uteja.
Online unaweza pata na pia naweza kukutumia kutoka huku.Zinapatikana wapi hizi dawa.
Sawa nimekusoma nitajaribu kufuatiliaOnline unaweza pata na pia naweza kukutumia kutoka huku.
Bado sijaponaSasa ulipata suluhisho gani?? Au bado haujapona?????