Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Habarini.
Wakuu, ni kitu gani kinasababisha watu kuuawa au kujeruhiwa na mabomu?

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Pressure Wave Shock Wave na Shrapnels
Uchunguzwe kama sio mjeshi basi ipo haja ufuatiliwe kwa ukaribu sio kwa Maelezo haya... 😂😂😂Shrapnels. Hizi ni vipande vidogo vya chuma ambapo bomu likilipuka vinaruka kwa speed kubwa na energy kubwa. Artillery shells nyingi hutoa shrapnels na ndio huua, rockets kama HIMARS hutoa vipande vya tungsten steel rods mamia. Kipande kimoja kikikufia mguuni utakatwa, au kikifika kwenye gari kinapenya vyuma na hata engine block kinatoboa.
Shockwaves na concussions. Blast huua hasa kama bomu ni la kutega ardhini na limekanyagwa na gari ulilopanda. Mtu anaweza asijeruiwe popote ila mshtuko mkali sana ukatikisa organs mwilini. Kama ni pembeni ndio pale unaona mtu katupwa pembeni.
Matokeo yanawesa onekana baadae.
Moto na joto. Bomu lina moto mkali wa joto zaidi ya 2000°C hivyo moto wenyewe kwa burn au joto linaweza kuua. Chuma kinayeyuka kwa 600°C kama sikosei. Mabomu ya moto kama incendiary burning, white phosphorus na Napalm yamepigwa marufuku na UN. Napalm ni bomu baya sana.
Gesi kama salin hizi zilitumika sana Syria dhidi ya miji ya waasi.
Aisee hatari sanaShrapnels. Hizi ni vipande vidogo vya chuma ambapo bomu likilipuka vinaruka kwa speed kubwa na energy kubwa. Artillery shells nyingi hutoa shrapnels na ndio huua, rockets kama HIMARS hutoa vipande vya tungsten steel rods mamia. Kipande kimoja kikikufia mguuni utakatwa, au kikifika kwenye gari kinapenya vyuma na hata engine block kinatoboa.
Shockwaves na concussions. Blast huua hasa kama bomu ni la kutega ardhini na limekanyagwa na gari ulilopanda. Mtu anaweza asijeruiwe popote ila mshtuko mkali sana ukatikisa organs mwilini. Kama ni pembeni ndio pale unaona mtu katupwa pembeni.
Matokeo yanawesa onekana baadae.
Moto na joto. Bomu lina moto mkali wa joto zaidi ya 2000°C hivyo moto wenyewe kwa burn au joto linaweza kuua. Chuma kinayeyuka kwa 600°C kama sikosei. Mabomu ya moto kama incendiary burning, white phosphorus na Napalm yamepigwa marufuku na UN. Napalm ni bomu baya sana.
Gesi kama salin hizi zilitumika sana Syria dhidi ya miji ya waasi.
Jamaa katisha aisee.Uchunguzwe kama sio mjeshi basi ipo haja ufuatiliwe kwa ukaribu sio kwa Maelezo haya... 😂😂😂
Kwahiyo ulikuwa unaipenda vita??😮Jamaa katisha aisee.
Nimesoma andiko lake nikachukia vita ghafla
Sumu mjomba,Kwanini mkuki wa kimasai akikuchoma hata mguuni unakufa hapohapo?
Not a rodent who made a single bomb...Aisee hatari sana
Haya mabomu yanatengenezwa kwa minajili ya kuua watu siyo?
Hizi ndyo mada za kujadili sisi wabongo ila hayo mabomu tuwaachie wazunguSumu mjomba,
😂😂Hizi ndyo mada za kujadili sisi wabongo ila hayo mabomu tuwaachie wazungu
Ndy ila tusijidharau kama tuna mtu kama huyu aliechambua kuhusu mabomu hakika tukiwapata ishirini tyu tunatengeneza nuclear bombs zetu hapa Tz.
Mwanajeshi huyoo tena unaweza kuta komando mwalimu kabisa kitengo cha mabomu ,huo uchambuzi sidhani kama wa kutoka Google ni moja kwa moja class + field materials hizoNdy ila tusijidharau kama tuna mtu kama huyu aliechambua kuhusu mabomu hakika tukiwapata ishirini tyu tunatengeneza nuclear bombs zetu hapa Tz.
Shukrani. Njia kuu hasa ya kuua ni ipi. Mabomu makubwa kama MOAB yanatumia njia gani?Shrapnels. Hizi ni vipande vidogo vya chuma ambapo bomu likilipuka vinaruka kwa speed kubwa na energy kubwa. Artillery shells nyingi hutoa shrapnels na ndio huua, rockets kama HIMARS hutoa vipande vya tungsten steel rods mamia. Kipande kimoja kikikufia mguuni utakatwa, au kikifika kwenye gari kinapenya vyuma na hata engine block kinatoboa.
Shockwaves na concussions. Blast huua hasa kama bomu ni la kutega ardhini na limekanyagwa na gari ulilopanda. Mtu anaweza asijeruiwe popote ila mshtuko mkali sana ukatikisa organs mwilini. Kama ni pembeni ndio pale unaona mtu katupwa pembeni.
Matokeo yanawesa onekana baadae.
Moto na joto. Bomu lina moto mkali wa joto zaidi ya 2000°C hivyo moto wenyewe kwa burn au joto linaweza kuua. Chuma kinayeyuka kwa 600°C kama sikosei. Mabomu ya moto kama incendiary burning, white phosphorus na Napalm yamepigwa marufuku na UN. Napalm ni bomu baya sana.
Gesi kama salin hizi zilitumika sana Syria dhidi ya miji ya waasi.
Moja kwa moja kwa heshima ya pekee..huna baya mkuuShrapnels. Hizi ni vipande vidogo vya chuma ambapo bomu likilipuka vinaruka kwa speed kubwa na energy kubwa. Artillery shells nyingi hutoa shrapnels na ndio huua, rockets kama HIMARS hutoa vipande vya tungsten steel rods mamia. Kipande kimoja kikikufia mguuni utakatwa, au kikifika kwenye gari kinapenya vyuma na hata engine block kinatoboa.
Shockwaves na concussions. Blast huua hasa kama bomu ni la kutega ardhini na limekanyagwa na gari ulilopanda. Mtu anaweza asijeruiwe popote ila mshtuko mkali sana ukatikisa organs mwilini. Kama ni pembeni ndio pale unaona mtu katupwa pembeni.
Matokeo yanawesa onekana baadae.
Moto na joto. Bomu lina moto mkali wa joto zaidi ya 2000°C hivyo moto wenyewe kwa burn au joto linaweza kuua. Chuma kinayeyuka kwa 600°C kama sikosei. Mabomu ya moto kama incendiary burning, white phosphorus na Napalm yamepigwa marufuku na UN. Napalm ni bomu baya sana.
Gesi kama salin hizi zilitumika sana Syria dhidi ya miji ya waasi.
What a beautiful narrative, thank you..!!Shrapnels. Hizi ni vipande vidogo vya chuma ambapo bomu likilipuka vinaruka kwa speed kubwa na energy kubwa. Artillery shells nyingi hutoa shrapnels na ndio huua, rockets kama HIMARS hutoa vipande vya tungsten steel rods mamia. Kipande kimoja kikikufia mguuni utakatwa, au kikifika kwenye gari kinapenya vyuma na hata engine block kinatoboa.