Nini kinasababisha watu kufa bomu linapolipuliwa?

Pressure Wave Shock Wave na Shrapnels
Natamani sana haya mazali yakulipukiwa na bomu hasa nyuklia na ku experience the shockwaves, shrapnel, na ladha ya plutonium na kufa kishujaa ukiacha nyuma alama madhubuti isiyofutika.
 
Gamma Rays zitakuvauporise na kukugeuza Carbon.
 
Inashangaza sana hewa kuwa na nguvu ya kukukumba na kukuua!!
Katika Fizikia hewa inahesabika kama kimiminika(fluid),(kama nimekosea napokea usahihisho). Hapo ndio tunapata tabia hizo.

Ila, ni mara mia bomu lilipuke hewani kuliko kwenye maji.
 
Natamani sana haya mazali yakulipukiwa na bomu hasa nyuklia na ku experience the shockwaves, shrapnel, na ladha ya plutonium na kufa kishujaa ukiacha nyuma alama madhubuti isiyofutika.
Kwa Tanzania yetu huezi kuacha alama sana utaacha wategemezi/ Familia inateseka, kama kunafidia pia wahuni wanaweza kuipiga juu kwa juu
 
Inashangaza sana hewa kuwa na nguvu ya kukukumba na kukuua!!
Nilisoma sehemu, ipo very technical au very scientific zaidi kuliko tunavyofikiri kikawaida, kisayansi hewa ina particles ndogondogo hizo particles sijui ndio atoms zinasukumwa kwa energy kubwa sana ndio zinatengeneza msukumo wa hewa ambo unauwezo wa kuoinda hata chuma kigumu na kukivunja Sasa imagi chuma kinaoindwa je human body.
 
Sana mkuu.

Kwa warusi hapo, kuna yale pia hupewa na NATO (NATO reporting names) kwa baadhi ya silaha na vifaa, huwa yanakuwa mazuri sana pia.
Urusi wana bureau ya kubatiza majina huwa ina mfumo mzuri kwenye vifaru na ndege ila kwenye submarines siuelewi. Na wanakuwa na majina mawili, kampuni inayounda silaha inaipa jina alafu bureau ya wizara inaipa jina hiyo silaha ikiwa introduced. Mfano ilianza ni Sukhoi PAK FA ikaja Sukhoi Su-57. Na kabla ya hapo, project inakuwa na jina sometimes la siri unakuta na neno katikati "Objekt" ujue hiyo Siri hata dereva wa injinia mkuu hajui.

NATO reporting names sometimes sizikubali. Su-25 NATO wanaiita Frogfoot. Kh-22 anti ship missile iliyotisha Cold war Warusi wanaiita Storm alafu NATO eti wanaiita Kitchen. Mig-21 NATO wanaiita Fishbed.
Ila Warusi Tu-160 waliita White Swan na NATO ikaiita Blackjack hapo ndio kidogo waliiheshimu.
 
T14 Armata elezea kuhusu TNT na Megatron

kwanini Hydrogen bomb inasemwa kuwa ni hatari kuliko Atomic bomb
 
Shrapnels. Hizi ni vipande vidogo vya chuma ambapo bomu likilipuka vinaruka kwa speed kubwa na energy kubwa. Artillery shells nyingi hutoa shrapnels na ndio huua, rockets kama HIMARS hutoa vipande vya tungsten steel rods mamia. Kipande kimoja kikikufia mguuni utakatwa, au kikifika kwenye gari kinapenya vyuma na hata engine block kinatoboa.

Shockwaves na concussions. Blast huua hasa kama bomu ni la kutega ardhini na limekanyagwa na gari ulilopanda. Mtu anaweza asijeruiwe popote ila mshtuko mkali sana ukatikisa organs mwilini. Kama ni pembeni ndio pale unaona mtu katupwa pembeni.
Matokeo yanawesa onekana baadae.

Moto na joto. Bomu lina moto mkali wa joto zaidi ya 2000°C hivyo moto wenyewe kwa burn au joto linaweza kuua. Chuma kinayeyuka kwa 600°C kama sikosei. Mabomu ya moto kama incendiary burning, white phosphorus na Napalm yamepigwa marufuku na UN. Napalm ni bomu baya sana.

Gesi kama salin hizi zilitumika sana Syria dhidi ya miji ya waasi.
Kutumia UD fake raha sana bila shaka we ni mwanajeshi ,umeelezea kitaalamu sana kongole
 
Gesi kama salin hizi zilitumika sana Syria dhidi ya miji ya waasu
 
Yote hii ni wanadamu kuangamizana. Tuna chuki sana!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Kwanini mkuki wa kimasai akikuchoma hata mguuni unakufa hapohapo?
Siyo kweli.

tukio-la-kinyama2-1.jpg

Huyo jamaa alichomwa mkuki mdomoni ukatokea shingoni kwenye vuruga za wakulima na wamasai huko Kilosa 26th Dec 2016 na hakufa.
 
Back
Top Bottom