Nini kinasababisha watu kufa bomu linapolipuliwa?

Pressure Wave Shock Wave na Shrapnels
Natamani sana haya mazali yakulipukiwa na bomu hasa nyuklia na ku experience the shockwaves, shrapnel, na ladha ya plutonium na kufa kishujaa ukiacha nyuma alama madhubuti isiyofutika.
 
Natamani sana haya mazali yakulipukiwa na bomu hasa nyuklia na ku experience the shockwaves, shrapnel, na ladha ya plutonium na kufa kishujaa ukiacha nyuma alama madhubuti isiyofutika.
Gamma Rays zitakuvauporise na kukugeuza Carbon.
 
Inashangaza sana hewa kuwa na nguvu ya kukukumba na kukuua!!
Katika Fizikia hewa inahesabika kama kimiminika(fluid),(kama nimekosea napokea usahihisho). Hapo ndio tunapata tabia hizo.

Ila, ni mara mia bomu lilipuke hewani kuliko kwenye maji.
 
Natamani sana haya mazali yakulipukiwa na bomu hasa nyuklia na ku experience the shockwaves, shrapnel, na ladha ya plutonium na kufa kishujaa ukiacha nyuma alama madhubuti isiyofutika.
Kwa Tanzania yetu huezi kuacha alama sana utaacha wategemezi/ Familia inateseka, kama kunafidia pia wahuni wanaweza kuipiga juu kwa juu
 
Inashangaza sana hewa kuwa na nguvu ya kukukumba na kukuua!!
Nilisoma sehemu, ipo very technical au very scientific zaidi kuliko tunavyofikiri kikawaida, kisayansi hewa ina particles ndogondogo hizo particles sijui ndio atoms zinasukumwa kwa energy kubwa sana ndio zinatengeneza msukumo wa hewa ambo unauwezo wa kuoinda hata chuma kigumu na kukivunja Sasa imagi chuma kinaoindwa je human body.
 
Sana mkuu.

Kwa warusi hapo, kuna yale pia hupewa na NATO (NATO reporting names) kwa baadhi ya silaha na vifaa, huwa yanakuwa mazuri sana pia.
Urusi wana bureau ya kubatiza majina huwa ina mfumo mzuri kwenye vifaru na ndege ila kwenye submarines siuelewi. Na wanakuwa na majina mawili, kampuni inayounda silaha inaipa jina alafu bureau ya wizara inaipa jina hiyo silaha ikiwa introduced. Mfano ilianza ni Sukhoi PAK FA ikaja Sukhoi Su-57. Na kabla ya hapo, project inakuwa na jina sometimes la siri unakuta na neno katikati "Objekt" ujue hiyo Siri hata dereva wa injinia mkuu hajui.

NATO reporting names sometimes sizikubali. Su-25 NATO wanaiita Frogfoot. Kh-22 anti ship missile iliyotisha Cold war Warusi wanaiita Storm alafu NATO eti wanaiita Kitchen. Mig-21 NATO wanaiita Fishbed.
Ila Warusi Tu-160 waliita White Swan na NATO ikaiita Blackjack hapo ndio kidogo waliiheshimu.
 
T14 Armata elezea kuhusu TNT na Megatron

kwanini Hydrogen bomb inasemwa kuwa ni hatari kuliko Atomic bomb
 
Kutumia UD fake raha sana bila shaka we ni mwanajeshi ,umeelezea kitaalamu sana kongole
 
 
Yote hii ni wanadamu kuangamizana. Tuna chuki sana!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Kwanini mkuki wa kimasai akikuchoma hata mguuni unakufa hapohapo?
Siyo kweli.


Huyo jamaa alichomwa mkuki mdomoni ukatokea shingoni kwenye vuruga za wakulima na wamasai huko Kilosa 26th Dec 2016 na hakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…