Nini kinasabisha hili kwa wanawake wengi wa Kichaga? Na Wapemba nao wana lao

Nini kinasabisha hili kwa wanawake wengi wa Kichaga? Na Wapemba nao wana lao

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Wanasifika kwa kuwa na Kipulilo aka Komwe. Nini Chanzo cha Tatizo hilo? Unakuta dada mzuri tu maskini sura huku chini inavutia ila ana Komwe. Na nywele zimeanzia karibu na kati kati ya kichwa.

Je, haiwezekani kufanyika utafiti wa kitaalamu kubaini nini chanzo?

Wapemba wengi ni flat head end. Yaani hawana kisogo. Asilimia kubwa utaona, Unajua oooohhh.... Mpemba huyu. Ni nini shida? Je haisababisha ubongo kubonyea kidogo na kuathiri akili? Wataalam hili nalo mkaliangalie.

Watu wa Kigoma, Mtwara,Wazaramo. Hawa wana machogo hasa. Nao je haisababishi ubongo kutawanyika kurudi nyuma na hivyo wakawa wanakosa akili darasani maana ubongo unarudi nyuma sana unakosa balance.

Too much is harmful. Uongo?

Screenshot_2023-05-09-21-21-06-875_com.android.chrome~2.jpg

Mrembo Manka huyu hapa.


WATAALAMU. HILI NALO MKALIANGALIE.
 
Nikuambie tuu wengi wao wenye komwe wako smart sana kichwani... Wengi wenye vichogo wako vzr sana kwenye Calculus.

Mm kabla yakudate na mwanamke lazima awe na komwe japo wanakuwa judgemental sana. Yani usipokuwa makini utahisi anataka kukutawala
 
Kombe sababu mojawapo ni kusuka toka utotoni mtu anasukwa since 3 yrs hadi afike 25 yrs nywele zimefika nusu kichwa.
Wapemba nasikia wanakandwa vichogo na mchanga wakiwa wadogo.
 
Tatizo la kupata watoto uzeeni.🤣🤣
 
Mzee wa kipulilo kwa ndulilo sio mbali na kutumba mlima mwambegele
 
Labda stress za kufake maisha , tho wadada wengi wanastress za kuolewa. Vijana WA hovyo hwataki Ndoa
 
Komwe lina athari gani kwenye mambo yetu?

Komwe HOYEE..!!
 
Back
Top Bottom