Nini kinataka kulikumba Taifa la Tanzania?

Lipo tatizo maana na thamani ya maisha inazidi kupungua,(hofu) kwa matabaka karibu yote.
Jamaa kila siku anaamka akiwa na stress na ma-frustration kibao! Awamu hii mpaka ajinyee!!
 
Pole kumbe wewe ulikuwa haujagundua?Sisi tulio rohoni ni muda tu tuko kwenye maombi. Tulishaliona hili a long time ago ndiyo Maana tunaomba na kufunga for 2 yrs sasa. Lkn be rest assured God loves this nation. He has very big plans with us. Usihofu wala kuogopa
 
Napendekeza tuichukue Rwanda kwa njia za diplomacy ili iwe sehemu ya muungano wa Tanzania
 
Yule mpuuzi Chakubanga anadai wameshinda ushindi wa kishindo kutumia sayansi. Sayansi ya wahuni, wauaji na mafisadi ambao wako radhi kupora ushindi kwa gharama yoyote ile hata kama ni kuua Watanzania wasio na hatia kwa visu, mapanga, marungu na mitutu ya bunduki.

Kinachonishangaza ni wastaafu kuwa kimya kabisa huku huyu kichaa akiendelea kupandikiza mbegu ya chuki za kutisha nchini na kuvuruga kabisa mshikamano wa Watanzania uliojengwa kwa zaidi ya nusu karne sasa.

Karibu tutaanza kugawana majengo ya serikali magereza na hospitali. Acha libume tutatia adabu. Roho iradhi na miwili yetu si dhaifu. ccm mtalaumiwa na vizazi vingi vijacho.
 
Na unafiki wako.
Eti chaguo la mungu.
Lini mungu kasema kamchagua.
 
we tumain unataka kusema , wakuu wanaona wananyang'anywa mamlaka zao, hadi IGP anapewa amri na mteule wa Rais.. unasema jambo usilo lijua
 
Hii nchi imevaa sura ya zombie
Kikubwa cha kushangaza vyombo vya kutetea 'Haki za Binadamu Tz vipo kimya au wanasubiri kimbari ndio waanze kuongea na vyombo vya habari vya kimataifa kuuza sura
Tz ya leo mwenye haki na ulinzi ni yule anayeikubali ccm eti yule mama fundi wa matusi na mwanawe waliopokelewa na chama pinzani kwa shangwe leo wanarudi walikotoka kwa kukwepa kubomoliwa nyumba sasa ccm ndio mahakama na mahakama ndio ccm! It's sickening

Upinzani acheni kuwapokea watu kwa shangwe kwa umaarufu wao wapeni kadi za uanachama wakae bench hawawezi Wasonge

Wapinzani wa kweli ni wale wanaoitetea Tz hawa mal&&$& wauza sura wanayumbisha upinzani
Vigumu sana kumwamini mtu aliyeipenda ccm kwa maslahi kuliko jambazi au mwizi
******* Kibaya zaidi wastaafu/marais wapo kimyaaaaaaa siku wananchi wakijitoa ufahamu mbivu itakuwa mbichi na mbichi itakuwa mbivu
 
Reactions: BAK
Angalia hii ya kumpigia magoti dhalimu kuhusu katiba mpya. Utadhani yeye ana hati miliki ya Tanzania mpaka watu wamsujudie na kumlamba miguu.

LHRC, WANASIASA WAMWANGUKIA JPM

 
Angalia hii ya kumpigia magoti dhalimu kuhusu katiba mpya. Utadhani yeye ana hati miliki ya Tanzania mpaka watu wamsujudie na kumlamba miguu.

LHRC, WANASIASA WAMWANGUKIA JPM
Inashangaza Inaudhi Inaumiza
No wonder hawasemi kituuu
Acha tuwaandikie Amnesty International wawalipue kibarua kiote nyasi
Wamefungamana na chama tawala ni kinyume na taratibu za Amnesty International
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…