Nini kinataka kulikumba Taifa la Tanzania?

Dawa ni kumwomba tu aingilie kati maana kuna watu wengi wamejawa na hofu na wengi wameshaumia......
 
Dawa ni kumwomba tu Mungu aingilie kati maana kuna watu wengi wamejawa na hofu na wengine wengi wameshaumia......
 
Ndio Nini ss!,
 
Naliona genge la wapiga deal wanavyozidi kujiweka karibu na taasisi ya urais kila kukicha,baadhi yao ni wanasiasa waliotoka upinzani,viongozi waandamizi waliopo serikalini na chamani pia,nadhani u salama wa taifa inapasa wawamulike watu hao wanaojificha kwa kisongizio cha kumuunga mkono rais
 
Kondom milioni 50 inamaana hata watoto watapata gawio ndo tunakoelekea
 
 
Duh...!, nimekuvulia kofia!.
p
 
Dark days...
 
Huwa ninapo soma makala Nina andika ninaogopa maana naandika kile kina tokea. Ila trust me ni uwezo wa ajabu Mungu kanipa naona yasio onekana na Yale yapo sirini...
 
The man who see what other do not see. 🤐 It happen
 
The man who see tomorrow
 
Hebu naomba urudie kusoma mwenyewe ulichoandika maana kuna maneno mengine sio kiswahili na sentensi imegoma
Sio kwa ubaya ila hata kama ni makosa ya kiuandishi basi soma ili urekebishe na sisi tuelewe
 
Siwezi Mimi Siwezi Mimi bila wewe Bwana Mimi siwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…