Nini kinataka kulikumba Taifa la Tanzania?

Nini kinataka kulikumba Taifa la Tanzania?

Jamaa kaandika kisha kapotelea hewani... Sijui atarudi kuendeleza mjadala!!!????
 
Wana macho lakin hawaoni! Wana masikio lakin hawasikii. Kila cheny mwanzo kuw na mwisho lazim. Maneno matakatifu kwa wakristo
 
Karibu tutaanza kugawana majengo ya serikali magereza na hospitali. Acha libume tutatia adabu. Roho iradhi na miwili yetu si dhaifu. ccm mtalaumiwa na vizazi vingi vijacho.
 
Ndugu zangu mimi ni Mwana wa Asie lala. Macho yangu mara nyingi hayafungi.. Ila kuona msio yaona. Kuandika msio yatarajia.
It might be i was the fist person to Know Magufuli will be the president and im sure ni Mungu alimchagu.

Ila leo natamani kusema kila kinataka kutokea na sii kwa mtu binafsi but kwa watanzania wote.

Taifa linapita nyakati ngumu sana ambayo uwenda akuna utawala umewahi kupitia ukiacha utawala wa Mwalim Nyerere.

Taifa linajambo linataka kutokea na uwenda wengi tudipo kuwa macho nakumuomba Mungu tunaweza kulia badala yakufurahi.

Power....nitaendelea

mkuu mbona umekimbia ..wakati thread haijakamilika ..daaaahh
 
Karibu tutaanza kugawana majengo ya serikali magereza na hospitali. Acha libume tutatia adabu. Roho iradhi na miwili yetu si dhaifu. ccm mtalaumiwa na vizazi vingi vijacho.
Mnatamani wenzenu yawafike mabaya Mungu sio kandarasi wa visasi mjue!
 
"
It might be i was the fist person to Know Magufuli will be the president and im sure ni Mungu alimchagu."

sijaelewa hapo
 
Ndugu zangu mimi ni mwana wa asielala. Macho yangu mara nyingi hayafungi.. Ila kuona msio yaona. Kuandika msiyoyatarajia.
It might be I was the first person to know Magufuli will be the president and i'm sure ni Mungu alimchagua.

Ila leo natamani kusema kila kinataka kutokea na sii kwa mtu binafsi but kwa watanzania wote.

Taifa linapita nyakati ngumu sana ambayo huenda hakuna utawala umewahi kupitia ukiacha utawala wa Mwalim Nyerere.

Taifa lina jambo linataka kutokea na huenda wengi tulipokuwa macho na kumuomba Mungu tunaweza kulia badala ya kufurahi.

Power....Nitaendelea
aliye gundua huru wa kuandika unacho penda.na hisi wewe utakuwa mmoja wao
 
Ndugu zangu mimi ni mwana wa asielala. Macho yangu mara nyingi hayafungi.. Ila kuona msio yaona. Kuandika msiyoyatarajia.
It might be I was the first person to know Magufuli will be the president and i'm sure ni Mungu alimchagua.

Ila leo natamani kusema kila kinataka kutokea na sii kwa mtu binafsi but kwa watanzania wote.

Taifa linapita nyakati ngumu sana ambayo huenda hakuna utawala umewahi kupitia ukiacha utawala wa Mwalim Nyerere.

Taifa lina jambo linataka kutokea na huenda wengi tulipokuwa macho na kumuomba Mungu tunaweza kulia badala ya kufurahi.

Power....Nitaendelea
kwa kiuchumi wa jamii/ individuals nakubaliana na wewe yaweza tokea hali tete
 
Unatupumzikia tu, nchi inaenda kama mungu alivyopanga hakuna baya wala zuri
 
Lipo tatizo maana na thamani ya maisha inazidi kupungua,(hofu) kwa matabaka karibu yote.
 
Back
Top Bottom