Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mtu kutofikia malengo yake(frustration) moja ya ishu kubwa inayochangia kushape tabia ya mtu.
Tabia nyingi tunazoziona kwa watu, na zingine tunaita magonjwa ya akili ni matokeo ya watu kushindwa kufikia malengo.
Kwenye uzi huu jinsi watu wanavyo react dhidi ya kushindwa kufikia malengo.
1. Rationalization(Sizitaki mbichi hizi)
Moja ya tokeo la frustration ni rationalization. Hapa mtu anatafuta sababu ya kujifariji kushindwa kwake. Ni kawaida ya binadamu kutafuta sababu. Tunafanya hivyo sababu ukweli unaweza kufanya hali yetu ya akili iwe mbaya sana. Mtu anayefeli mtihani anaweza toa sababu kuwa ulikuwa hauko fair badala ya kukubaliana na ukweli kuwa ni mvivu wa kusoma au mzito kuelewa. Rationalization inalinda akili zetu.
2. Apathy(Ndivyo yalivyo).
Assume nchi inatawaliwa na dikteta. Wote wanaojaribu kupambana naye wanauwawa na kufungwa. Maisha no magumu lakini kila anayejaribu kusema chochote anazimishwa vikali. Mwisho wa siku jamii yote inaona kuwa ni afadhali kutulia na kuacha mambo yaende kama yalivyo kuliko kujihangaisha.
2. Aggression(vurugu)