moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
- Thread starter
-
- #21
Nawe unaamini Yanga haina mishahara haraWewe na mzee Akilimali ndo mmeifanya Yanga ifike hapa, timu mishahara hakuna, kila kitu hovyo hovyo. Si ajabu wewe na Mkemi mkauza mechi na waEthiopia kwa tamaa zenu mlizonazo.
WanaYanga, huyu ndo adui yenu.Munadanganyana tu Manji hawezi rudi Yanga hata siku moja imebakiwa history tu kama viongozi wengine waliopita Yanga
Endeleeni kudanganyana tu huko mtaani
Ni vizuri sana Na wewe ukaanzisha mradi huu kama una faida sanaYanga imekulisha vya kutosha, kuanzia kwenye magroup ya Whatsapp hadi viingilio getini. Hatukuhitaji tena... umeibia watu sana whatsapp ukijidai unachangishia timu kumbe unakula wewe.
Huyu jamaa anaendesha maisha yake kupitia Yanga kwa njia za udanganyifuKama ndo hao waliotubania kupata madola ya Manji hana sifa za kujifanya anaongelea matatizo ya TFF ndo wale wale wanaojifanya watu wa mpira
Yanga imeshindwa hata kumpeleka Ngoma nje kutibiwa, Kamusoko na Tambwe wameshindwa kupata matibabu ya uhakika hadi wanajihudumia wenyewe!Nawe unaamini Yanga haina mishahara hara
Kipindi Yanga haina mdhamini hata mmoja
Hatujawahi sikia neno Yanga haina mishahara
Sasa Yanga ina wadhamini Watano
Eti haina mishahara Dah
Akili hizi zinahitaji uchunguzi wa kina sana
Sports pesa
Macroon
Afya
Azamtv
Yangatv
Mapato ya mlangoni
Michango ya magroup ya WhatsApp
Bado tu Yanga haina hela
Ni hivi, muda wako Yanga uko ukingoni. Yanga ya kisasa inakuja hivyo jiandae kisaikolojiaNi vizuri sana Na wewe ukaanzisha mradi huu kama una faida sana
Kwani mimi nina nafasi gani Yanga au unaropoka tuNi hivi, muda wako Yanga uko ukingoni. Yanga ya kisasa inakuja hivyo jiandae kisaikolojia
Nafasi yako Yanga ni upanya road, unakwapua kwapua tu afu ukija huku unajifanya mwema! Ni wewe na akina Akilimali mnaoifanya Yanga idumae.Kwani mimi nina nafasi gani Yanga au unaropoka tu
Namna gani msivyotumia akili Munadanganyana tu
Na wewe una nafasi gani Yanga zaidi ya kulalamika tu kwenye magroup ya WhatsApp
Na huku jamii forum
Alafu mauchafu yenu ya FB muyaache huko huko
Huku ni kwa watu wenye akili zao timamu na wanaojua kujenga hoja
Nafasi yako Yanga ni upanya road, unakwapua kwapua tu afu ukija huku unajifanya mwema! Ni wewe na akina Akilimali mnaoifanya Yanga idumae.