moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
- Thread starter
- #21
Nawe unaamini Yanga haina mishahara haraWewe na mzee Akilimali ndo mmeifanya Yanga ifike hapa, timu mishahara hakuna, kila kitu hovyo hovyo. Si ajabu wewe na Mkemi mkauza mechi na waEthiopia kwa tamaa zenu mlizonazo.
Kipindi Yanga haina mdhamini hata mmoja
Hatujawahi sikia neno Yanga haina mishahara
Sasa Yanga ina wadhamini Watano
Eti haina mishahara Dah
Akili hizi zinahitaji uchunguzi wa kina sana
Sports pesa
Macroon
Afya
Azamtv
Yangatv
Mapato ya mlangoni
Michango ya magroup ya WhatsApp
Bado tu Yanga haina hela