Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Tafiti nyingi zinaonesha kwamba sehemu kubwa ya vijana wa kizazi cha Gen Z hawahudhurii nyumba za ibada (Msikitini&Kanisani) mara kwa mara kama vizazi vilivyopita, lakini si kwamba wote wameacha dini au ibada.
Kinachoonekana zaidi ni kwamba wengi wanajiita “spiritual” kuliko “religious”, baadhi yao wanaamini kwa njia zao binafsi bila kwenda kanisani au msikitini, wengine wanahisi taasisi za dini hazielewi changamoto zao za sasa lakini pia mitandao ya kijamii na maisha ya kidijitali imebadili namna wanavyojifunza na kuabudu.
kwa mtazamo wako unadhani nini kinawakwamisha Gen Z kuhudhuria nyumba za ibada?!