Nini kinawafanya waarabu wa Oman kusifika kwenye diplomasia na mapatano?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Inakuwaje wanajamvi!

Oman Arabs ama waarabu wa Omani wana sifa moja kubwa sana katika mashauriano, upatanishi na diplomasia.

Wanatumika na kuhitajika sana kwenye nyanja hizo. Tunaona hata mateka na wafungwa wa magharibi Iran hata kwa wataliban Oman inatumika kama 'Mabrokers' pande zote mbili.

Hata kurudi kwa Taliban pande zote Oman bega kwa bega na Qatar walisaidia sana kutekeleza pande zote mbili Taliban na Marekani.

Na Tunaona hata wafungwa au mateka wote wa magharibi chini ya Iran au vikundi vya kigaidi wakiachiwa upitia kwanza Oman halaf baadaye kwenye nchi.

Ni kipaji Chao walichozaliwa nacho?

Zamani Karne kadhaa zilizopita hawa waomani walikuwa katili sana tunasoma katika historia. Ila wamebadilika na kuwa waungwana siku hizi.
 
Takbiiir
 
Back
Top Bottom