Nini kinawafanya Waislamu waamini dini yao ndio sahihi na sio Ukristo?

Nini kinawafanya Waislamu waamini dini yao ndio sahihi na sio Ukristo?

Tatizo ni muundo wa hizi dini. Uisalmu na ukristo ni dini za miungu.

Kwenye dini za miungu, ni lazima ulimwengu uwe na chanzo ambacho ni mungu flani, na wajibu unakuwa ni kumnyenyekea huyo mungu.

Sasa kila dini ya huu muundo ina mungu wake. Kila mmoja anaamini mungu wake ndio sahihi.

Wakati kiukweli hakuna ajuaye chanzo cha ulimwengu ni nini.

Ndio maana dini/worldviews zisizo na miungu kama buddhism, humanism, jainism na confuciunism zinashika kasi. Zimekwepa kabisa hilo swali na zinajikita kwenye kuboresha maisha ya hapa duniani.

Binafsi naamini ndipo tunapoelekea. Hata hivyo kihistoria, tumetokea kwenye dini za miungu wengi, tumewapunguza sasa hivi ni mmoja mmoja, tunakoenda hawatokuwepo.
 
Kwa sababu wameruhusiwa kuuwa binadamu wenzao,siyo kazi rahisi kujikuta wewe unamsaidia Mungu kuuwa watu na kuwa proudly kwa hilo
 
kimsingi anashambulia winga zote
Tayari ni contradiction... hata AI lazima ichanganyikiwe kama nikwa uandishii huu... mpaka nimeshindwa ni comment nini mkuu Yoda hebu tumia logic kaka...
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Siyo dini tu zinazoamini kuwa ni Bora kuliko zingine.

Ongezea.
Kabila
Lugha
Tamaduni
Nchi
N.k

Ndiyo maana wazungu walipokuja Afrika, Kila Kitu cha waafrika walikiita cha Kishenzi.
Hili mbona ni tatizo la dunia nzima?

Lakini naamini kadri miaka inavyozidi kwenda tutabadilika tu.

Mfano sidhani kama miaka 1,000 ijayo kutakuwa na suala la utaifa. Sasa hivi tu karibia kila nchi duniani utakuta watu wa ngozi zote, tofauti na miaka 100 iliyopita. Tumetoka kwenye falme na makabila, hapa hapatotushinda.
 
Tayari ni contradiction... hata AI lazima ichanganyikiwe kama nikwa uandishii huu... mpaka nimeshindwa ni comment nini mkuu Yoda hebu tumia logic kaka...
Nini kinakufanya kuamini Ukristo na Usabato ndio dini ya kweli na sio Uislamu au Ukatoliki?
 
Nini kinakufanya kuamini Ukristo na Usabato ndio dini ya kweli na sio Uislamu au Ukatoliki?
Asante mkuu... swali zuri....

Kilichonifanya indeed niamini ukristo ni YESU ambaye amekuwa mkombozi wa wanadamu, na ukilitumia jina hilo kwa imani basi utajibiwa maombi.....

Hili la
Usabato na sio ukatoriki ni kwamba nimesoma UNABII wa daniel na ufunuo ndivyo vilivyonifanya nichague usabato.....

But bado naendelea kusoma mkuu maana kuna kitu kinaitwa EKUMENE nakifatilia bado.....
 
Back
Top Bottom