Nini kinazikuta biashara za wasanii?

Nini kinazikuta biashara za wasanii?

Ambition plus

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
6,101
Reaction score
11,381
Aje washika dau???

Nimekaa najiuliza kuna wasanii walikuja na bidhaa kede kede lakini zimeishia wapi ama wana fail wapi?

King kiba alikuja na energy drink (more fire)mwana FA (perfume),Diamond chibu perfume,diamond karanga n.k

Shida ni nini?Na mbona hizi bidhaa hazionrkani mitani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom