Nini kinazuia Mawaziri kupanda SGR kati ya Dar es Salaam - Dodoma?

Mawaziri wa Tanganyika mjitafakari kama kweli mna uchungu na nchi hii mbona bado mnafuja Kodi za wananchi? Yaan Dar-Dodoma bado mnaendesha maV8 wakati SGR IPO?
Wapande treni ya mwendo kasi au wapande Reli (SRG)??
 
Kingekuwa kipindi cha jiwe,wangepanda ili wapate sifa kutoka kwa jiwe wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…