Kwanza kabisa mapenzi na uaminifu ni vitu viwili tofauti!Kimoja hakiwezi kuchukua nafasi ya mwenzake hivyo huwezi kuchagua kipi ni bora!Kwa wapenzi mapenzi na kuaminiana vinaenda pamoja!Hamna ambacho ni muhimu zaidi ya mwenzake kwasababu vinategemeana in a way!Ukimpenda mtu bila kumuamini ni rahisi kupoteza yale mapenzi..na kumwamini mtu usiempenda haitoshi kuwafanya wapenzi!
Vyote ni muhimu mkuu, haina maana umpende mtu then usimwamini, we mpende tuu na mwamini afu tegemea the same,,, ila usimpe namba zako za siri za ATM card yako!
kuna aina nyingi za mapenzi...
ukimpenda mwanao wa miezi miwili huitaji trust
lakini romantic love lazima iendane na trust mkuu
ndo maana watu wanapokuwa cheated on wanaumia sana...
kaka mm nnafkr tatzo lipo kwny uaminifu ukiona uaminifu umeshuka kaa ukijua kuwa upendo haupo tena so uaminifu ni ki2 cha mcng sana katka mausiano kama unamjal mwenzako hakika utakuwa mwaminifu kwake na upendo utaongezeka pia so trust kwnz alafu love bidae
mkianza mapenzi itaanza trust. Kama sikutrust sitokuwa tayari kufanya chochote na wewe.Wenzi wanapokuwa wapya ni kipi kinaanza? Au vinaanza kwa pamoja?
Tunaambiwa na wanandoa kuwa LOVE huchuja au hufifia na kubaki mazoea; je TRUST nayo je?
Ni kwa vipi hivi vinaenda pamoja?
upendo unaisha VOR na ndio maana watu waliofumaniana huwa ni ngumu kurudia mahusiano na wakaishi kama zamani.unaweza ukampenda mtu bila kumuamini kabisa, mfano hata akikucheat its not necessary kwamba upendo wako kwake utakwisha
upendo unaisha VOR na ndio maana watu waliofumaniana huwa ni ngumu kurudia mahusiano na wakaishi kama zamani.