Nini Kipi Muhimu "LOVE" au "TRUST"?


I agree,good analysis!
 
Kwa hiyo ni sawa kusema bila TRUST hakuna LOVE?

Au bila LOVE hakuna TRUST?

yap yan upo sawa kabisa mana ukiona dowa huku hujue huku lipo kubwa zaid yan kunamadoa upande wa pili so vyote sawa
 
LOVE YOU BECAUSE I TRUST YOU??
TRUST YOU BECAUSE I LOVE YOU??

To me, nafikiri love inakuja baada ya kukuamini.
Sawa at first naweza nikawa nimekupenda, but upendo huu utaendelea kukua, na kukomaa baada ya kuwa,
umejengwa katika uaminifu. Nazidi kukupenda kadiri ninavyozidi kukuamini, maneno yako, matendo yako, na hisia zako.
Hata kama kile ninachoamini sicho ulicho nacho may be umevaa ngozi ya kondoo.

Ndo maana utakuta mtu anasema nilikuamini lakini kumbe uko hivi......
Anajutia kuamini, nilikupenda sababu nilikuamini, but I dont trust you any more...........na upendo unapungua au kuisha kabisa.
 

Here we go kwa wanao amini: Nachukulia LOVE kama UPENDO:



Katika hali ya kiroho ukweli ni huo. Katika hali ya binadamu inaonyesha tofauti hasa swala la mapenzi:

Kwa mwanaume: NO TRUST: NO LOVE unless kama huyo Mwanaume hana nia ya kukufanya mwenzi wake wa kweli basi si lazima aku-TRUST.

Kwa Mwanamke: NO LOVE: NO TRUST unless ni mahusiano ya kingono tu.

Huo ndo ukweli wa tafiti mbalimbali.
 

VoR tuzungumzie mahusiano ya mapenzi; tena tuzungumzie mapenzi ya kweli kama wengi wanavyotamani.

Unapokutana na mwenzi kunakuwa na sequence ya matukio ukiachia exceptional cases:

1. LIKE: Hii inatokana na mwonekano na jinsi ambavyo unavutiwa na kupendezwa na huyo mwenzi wako. Hapo inawezekana hata hamfahamiani sana.

2. Then LOVE: Hii inatokana na CHEMISTRY between you two ambayo bila ya shaka inajengwa kutokana na mawasiliano yenu na matendo yenu. CHEMISTRY hii au misisimko inaweza ikadumu au ikafa. Ili idumu inahitaji ingredient. TRUST.

3. TRUST: Hii ni ingrdient muhimu sana kwa mapenzi kushamiri. NO TRUST no Stable Love. Ni kama kujenga nyumba mchangani.

4. TRUST + LOVE: HAPINESS + FULFILMENT.

That means usipopita namba 2 hapo unarudi 1 tena.
 

Well written.
 
upendo unaisha VOR na ndio maana watu waliofumaniana huwa ni ngumu kurudia mahusiano na wakaishi kama zamani.

Kwa Wanawake wengi ni Rahisi kusamehe na kukupenda tena kama kuna mabadiliko.

Kwa Wanaume: Mara nyingi huwa inakuwa ni mwisho wa mapenzi.

lakini kuna exceptions.
 
Kwa mwanaume: NO TRUST: NO LOVE unless kama huyo Mwanaume hana nia ya kukufanya mwenzi wake wa kweli basi si lazima aku-TRUST.

Kwa Mwanamke: NO LOVE: NO TRUST unless ni mahusiano ya kingono tu.

Huo ndo ukweli wa tafiti mbalimbali.
Mkuu hapo unaongea as if love is like a tap of water which you can turn it on and off kwa maamuzi ya dakika...,

Je haujaona cases za mtu anapenda sana, anafanyiwa visa na anajua kabisa mwenza wake sio muaminifu lakini sababu ya penzi kubwa anajipa moyo kwamba jamaa atabadilika au yuko radhi amshare kuliko kumpoteza kabisa?

Ofcourse ni kweli kwamba TRUST is the foundation of any relationship (relationship not love) na kuwa na relationship lazima kuwe na Trust..,

Pia watu wangapi ninawaamini with my life lakini its not necessary kwamba I love them...
 

Mwanamke anapomwambia Mwanaume ANAMPENDA katika mapenzi ambayo ndo kwanza yanaanza bila mahusiano yoyote ya kimwili huwa ana maana gani? KUPENDA kwake kunatakiwa pia awe ANAMTRUST au anaweza kumpenda bila KUMTRUST?
 
I agree,good analysis!

Mmmh! Michelle; kutokana na mabandiko yako mengi mwelekeo wako ni kuwa Huwezi KUMPENDA Mwanaume bila KUMTRUST. Kanusha au Kubali . . . LOL
 

LD Well Written.

Je mapenzi yanadumu? Je yana stages?

Late "Dr" Remmy Ongala aliwahi kusema:

Mwanzo wa Mapenzi Mtamu Kama Chungwa
katikati ya mapenzi ni mtamu kama Limau
Then Ndimu
Then Shubiri . . .

Has TRUST got anything to do with that?
 

Well Written VoR. Kumbuka hapa tunazungumzia MAPENZI baina ya WENZI wa jinsia tofauti na si vinginevyo.

Tunafahamu kuwa katika ndoa nyingi Upendo Umepoa na hata TRUST inapungua. Wanandoa wengi watakwambia wanaishi kwa sababu ya MAZOEA na WATOTO na JAMII isije ikakuelewa vibaya.

lakini tukizingumzia uhalisia ni kuwa TRUST ni Msingi wa LOVE. Nakubaliana na wewe kwa exceptional cases ulizozitaja.

Natambua kuna Watu wa JINSIA zote wamejiua baada ya kugundua Hawapendwi au Wamedanganywa which means hakikuwa na TRUST.
 

Mkuu kwahiyo from your argument wale viwembe ni kwamba hawapendwi ?, kutokana na marriage nyingi nilizoona most couples hawana imani 100% na wenza wao kwamba hawawezi wakacheat.., hapo ndipo unapokuta kuna wivu na ugomvi wa hapa na pale.. now this relationship can break sababu ya ugomvi unaoletwa na wivu ndio sababu nikasema TRUST IS VERY IMPORTANT FOR RELATIONSHIP TO PROSPER.. sababu mkiwa na Trust mtapunguza unneccessary fights na pili sio vema kupenda mtu ambaye hauna trust nae sababu he/she will end up hurting you utakuwa unaumia kila siku

Mwanamke anapomwambia Mwanaume ANAMPENDA katika mapenzi ambayo ndo kwanza yanaanza bila mahusiano yoyote ya kimwili huwa ana maana gani? KUPENDA kwake kunatakiwa pia awe ANAMTRUST au anaweza kumpenda bila KUMTRUST?
Mwanamke akikuona kwanza tu hakujui wala nini atakuwa amekupenda sababu ya attraction (might be physical, au qualities ambazo amevutiwa nazo.., there is no actual formula) na hakuna mtu anayeingia kwenye relations ili aje kuumizwa later..., hayo ni matokeo lakini someones love might be so great hata akawa radhi to overlook the negatives (trust being one of them).. now its not advisable sababu huyu mtu atakuwa hana happiness...
 
Kamanda nimekusoma.

Tuko pamoja.

Respect!
 

Kuna kitu nakifikiria, Kwanza nakubali mapenzi yana stage.
1. Matamu kama chungwa, stage hii ni pale ambapo watu mmekutana kwa mara ya kwanza na kila nafsi ikakubali kwamba inampenda mwenzie. Kujaliana na heshima kwa sana, hapa nasemea ule mwanzo ambao mnakutana mnaongea mnamaliza mambo yenu mnaachana kila mtu anarudi kwake. Kila mtu anafanya juu chini amuoneshe mwezie upendo.Kwa hiyo mapenzi yanakuwa matamu, na TRUST inakuepo tu kila mtu anamwamini mwenzie. Na kila mtu anategemea mema kutoka kwa mwenzie.

2.Ndimu: Hi ni ile stage ambayo mmeshazoena, wakati mwingine mmeshaona mnakaa pamoja. Kila mtu anaona mapungufu na madhaifu ya mwenzake. Anaona mambo ambayo hakutegemea kuyaona, au mambo yanakwenda tofauti na vile walivyotarijia. Mfano mdada alioneka ni msafi sana kumbe ni mchafu na hana mpangilio wa mambo, au mdada alitegemea maisha fulani lakini kutokana na kipato mambo yakawa tofauti, nk nk nk, sasa hapa yanakuwa ndimu, lakini wakiweza kuvumilia na kuchukuliana kila mmoja akajifunza jinsi ya kwenda na mwenzie yanageuka yanakuwa matamu tena. Trust hapa ipo kiivi, kama niliamini A nikakuta B lazima upendo utapoa. Mfano. Niliamini mtu ninayeolewa naye hana mtoto aliyempata kabla yangu kumbe anaye, nitakapojua baada ya kuolewa basi nafikiria ni mengi nimedanganywa, but nitafanya je naishi na wewe tu kwa sababu.... But kiukweli labda moyo wangu haukupenda kuolewa na mtu mwenye mtoto. Kiasi cha upendo kinapungua,

3: Shubiri: Binafsi naona stage hii itazaliwa kutokana na stage namba 2, kwamba wakishindwa kuchukuliana, kukubaliana na kutengeneza Trust katika kipindi cha ndimu, basi yatakuwa shubiri. Kwa sababu kila mtu atafuta jinsi kuikinga nafsi yake, mwanaume anaweza akahamia baa, akahamia nyumba ndogo, mwanamke anaweza akaamua kuishi mradi liende tu. Au wakasambaratika kabisa. TRUST hakuna ukishaleta nyumba ndogo, pesa haionekani nyumbani, mwanamke anaishi kama anavyojua yeye au mmoja anaumia sana kwa matendo ya mwenzie. Hence no LOVE!!


Hiki ni kichwa changu tu kinafikiria hivo.
 

Well Written and Supported 100%.

Respect LD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…