Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Maoni yenu wataalamu wa lisheHuwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.
Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.
Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.
Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.
Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.
Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa
Kaanga chips hakikisha mafuta yamejichuja vizuri.Huwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.
Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.
Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.
Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.
Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.
Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa
Nashukuru kwa maoni lakin nahisi umeenda nje kidogo ya madaKaanga chips hakikisha mafuta yamejichuja vizuri.
Siku hizi kuna mashine za kuhoka chips bila mafuta.
Kama unawajuwa KFC nunuwa chips kwao ndio utajuwa chips zinatakiwa ziweje.
Kwa hiyo hayo mafuta yakikaanga dagaa hamna shida, shida ni kukaanga chips tu?Zinapunguza nguvu za kiume naskia. Alafu vile viazi vinanyonya sana mafuta mpaka viive ukikuta mtengenezaji mbaya unakuwa umekula mafuta ya kutosha
Na vipi mihogo ya kukaanga? Mbona inaonekana tatizo ni chips tu?Zinapunguza nguvu za kiume naskia. Alafu vile viazi vinanyonya sana mafuta mpaka viive ukikuta mtengenezaji mbaya unakuwa umekula mafuta ya kutosha

Siku hizi kuna zile deep flyer hazitumii mafuta kuchoma na kukaanga, bado chips za hivyo zinapunguza nguvu za kiume?Zinapunguza nguvu za kiume naskia. Alafu vile viazi vinanyonya sana mafuta mpaka viive ukikuta mtengenezaji mbaya unakuwa umekula mafuta ya kutosha
Mafuta ndio yanayotumika kutengeneza hormones za kiumeZinapunguza nguvu za kiume naskia. Alafu vile viazi vinanyonya sana mafuta mpaka viive ukikuta mtengenezaji mbaya unakuwa umekula mafuta ya kutosha
Wewe upo gizani sana, vyakula vinatakiwa chukuchuku au viungwe kwa nazi na kama ni mafuta basi yawe ya alizeti hayana colorestal, sasa muuza chips gani anaweza kukaanga chips kwa mafuta ya alizeti?Kwa hiyo hayo mafuta yakikaanga dagaa hamna shida, shida ni kukaanga chips tu?
Ndo swali langu kubwa
Ni mteja mkubwa nn 😂😂Chips hazina shida mkuu ni wivu tu!
Unajuwa clorestal ni nini?Mafuta ndio yanayotumika kutengeneza hormones za kiume
Sasa inakuwaje yanapunguza nguvu za kiume tena
High cholesterol inapatikana kwenye mafuta ya nazi na wanyama lakini sio pambaWewe upo gizani sana, vyakula vinatakiwa chukuchuku au viungwe kwa nazi na kama ni mafuta basi yawe ya alizeti hayana colorestal, sasa muuza chips gani anaweza kukaanga chips kwa mafuta ya alizeti?
Mkuu chipsi hazina madhara yoyote yale,labda wapige vita mafuta,na wakipiga vita mafuta maana yake hata maandazi,kachori,chapati na mikate ya mafuta wapige vita.Huwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.
Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.
Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.
Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.
Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.
Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa
Inawezekana eeHavina madhara ni stori tu za matapeli wanaouza dawa za nguvu
Zinapunguza nguvu za kiume naskia. Alafu vile viazi vinanyonya sana mafuta mpaka viive ukikuta mtengenezaji mbaya unakuwa umekula mafuta ya kutosha
Zinanyonya sana mafuta kvp wakati n kias kdg sana ya mafuta ndio hupungua kutoka kwenye mafuta ya awali kabla ya kuyatumia, kitu ambacho n kawaida mana ht ukichemsha kitu kwa kutumia maji pia hayo maji hupungua.Kwanza sio chakula cha kondeni. Hichi kiazi kimebuniwa tu. Pili kinakunywa mno mafuta. Tatu kwa kuwa sio chakula cha kondeni kwa mujibu wa bibilia. Hakina baraka