Mkuu chipsi hazina madhaya yoyote yale,labda wapige vita mafuta,na wakipiga vita mafuta maana yake hata maandaz,kachori,chapati na mikate ya mafuta wapige vita.
Tunaaminishwa vitu vya kipuuzi tu mkuu na tusiviamini sana lazima tuwe na uchakataji wa taarifa kama ulivyofanya wewe.
Leo hii mtu akila muhogo uliokaangwa anajiona super na very natural but kiazi cha kukaanga ndio wanaanza kupiga vita.
Maandani yanakunywa mafuta,kalimati zinakunywa mafuta,kuku wa kukaanga nae usiseme,nyama ya kukaaga nayo usiseme mzee,ila haya yote wanayanyamazia.
Kimsingi point ya kunote ni kwamba ule utakaposikia njaa,usile ukashiba kiviilee,na kula unachojisikia chochote,huo ndio mfumo angu.
Asubuhi zoezi kama dk 35
Then napiga maji kidogokidogo bila kula chochote mpaka mchana saa 7.
Then menyu ya pili saa 1 usiku,then baada ya saa 3 sili chochote,japkkuwa kuna siku naibia ila mara nyingi naihi hivyo.
Huo ndio mfumo wangu.