Nini kipo nyuma ya chips?

Havina madhara sema kauli za kimasikini na kukosa pesa ya kununua chips mayai ndo changamoto
 
Asante sana mkuu
 
Nafikiri ni uelewa mdogo kuhusu lishe na vyakula kwa walio wengi TZ.
mtu akila mihogo iliyokaangwa sio shida, mostly vitafunwa vinakaangwa na hayohayo mafuta.
tuache vyakula vyenye mafuta mengi ikiwemo mihogo, chips, kachori, sambusa, mandazi nk. Au tupunguze matumizi
 
Tatizo watu WA dar mnakula daily mara tatu miili inajengwa na mfuta na wanga pekee yake + soda apo lazima nguvu za kiume zikusumbue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…