Nini kipo nyuma ya chips?

Kwenye hii issue kuna mambo mawili
1. Viazi
2. Mafuta[aina yamafuta]
 
Kwa uwelewa wangu chips au viazi au ndizi sio aina zote na soda aina zote zina madhara Kwa kiasi fulani Kwa wanaume japo sio wote huleta ngiri mngurumo flan hivi wa tumbo na ukizidi sana au ukiwa mlaji sana kipindi Cha barid lazim korodani utasikia zinavutwa ndani na hii ndio hupelekea hata mtu kwenda mshindo mara moja tu na kushindwa kuendelea na tendo na tiba yake mpka upate dawa za asili ambazo ukizitumia ukienda haja utakuta unatoa kinyesi kama makamasi au povu au kamba kamba
 
Huu ni uongo mkubwa kuwahi kuona tangu nimezaliwa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Basi tu ili mradi usifurahie maisha
 
Same to Kitimoto, Au basi!

UKikiona ni haramu kina shida kidini ila ukiwa na njaa kali na hakuna msosi mwengine zaidi ya mdudu lazima ule na kinakuwa kitamu hatare
 
Asante mkuu na vipi kuhusu samaki wa kukaanga
"jihadhari na vyakula vya kukaangwa", samaki wa kukaanga naye anaangukia kwenye kundi hili. Samaki, kuku, ndizi na nyama za kubanika au kuchoma huwa na ladha nzuri zaidi kuliko vya kukaangiza.
 
"jihadhari na vyakula vya kukaangwa", samaki wa kukaanga naye anaangukia kwenye kundi hili. Samaki, kuku, ndizi na nyama za kubanika au kuchoma huwa na ladha nzuri zaidi kuliko vya kukaangiza.
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…