Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uwelewa wangu chips au viazi au ndizi sio aina zote na soda aina zote zina madhara Kwa kiasi fulani Kwa wanaume japo sio wote huleta ngiri mngurumo flan hivi wa tumbo na ukizidi sana au ukiwa mlaji sana kipindi Cha barid lazim korodani utasikia zinavutwa ndani na hii ndio hupelekea hata mtu kwenda mshindo mara moja tu na kushindwa kuendelea na tendo na tiba yake mpka upate dawa za asili ambazo ukizitumia ukienda haja utakuta unatoa kinyesi kama makamasi au povu au kamba kambaHuwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.
Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.
Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.
Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.
Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.
Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa
Huu ni uongo mkubwa kuwahi kuona tangu nimezaliwa 😂😂Kwa uwelewa wangu chips au viazi au ndizi sio aina zote na soda aina zote zina madhara Kwa kiasi fulani Kwa wanaume japo sio wote huleta ngiri mngurumo flan hivi wa tumbo na ukizidi sana au ukiwa mlaji sana kipindi Cha barid lazim korodani utasikia zinavutwa ndani na hii ndio hupelekea hata mtu kwenda mshindo mara moja tu na kushindwa kuendelea na tendo na tiba yake mpka upate dawa za asili ambazo ukizitumia ukienda haja utakuta unatoa kinyesi kama makamasi au povu au kamba kamba
Maelezo tafadhali mkuuKwenye hii issue kuna mambo mawili
1. Viazi
2. Mafuta[aina yamafuta]
Basi tu ili mradi usifurahie maishaHuwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.
Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.
Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.
Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.
Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.
Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa
"jihadhari na vyakula vya kukaangwa", samaki wa kukaanga naye anaangukia kwenye kundi hili. Samaki, kuku, ndizi na nyama za kubanika au kuchoma huwa na ladha nzuri zaidi kuliko vya kukaangiza.Asante mkuu na vipi kuhusu samaki wa kukaanga
Asante"jihadhari na vyakula vya kukaangwa", samaki wa kukaanga naye anaangukia kwenye kundi hili. Samaki, kuku, ndizi na nyama za kubanika au kuchoma huwa na ladha nzuri zaidi kuliko vya kukaangiza.