Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,677 Reaction score 3,174 Jul 16, 2025 #1 Wakuu, Kwa kawaida hata mtu mwenye miaka 90+ bado anatangaza nia ya uraisi na wananchi wanashangalia na anashinda kwa asilimia zaidi ya 70+ mbunge mwingine hata kusimama tuu ni changamoto Lakini bado wanataka Madaraka, hivi ni nini kipo nyuma ya pazia? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu, Kwa kawaida hata mtu mwenye miaka 90+ bado anatangaza nia ya uraisi na wananchi wanashangalia na anashinda kwa asilimia zaidi ya 70+ mbunge mwingine hata kusimama tuu ni changamoto Lakini bado wanataka Madaraka, hivi ni nini kipo nyuma ya pazia? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025