Nini kipo nyuma ya haya majina yetu ya kurithi hapa Africa?

Nini kipo nyuma ya haya majina yetu ya kurithi hapa Africa?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Ninaongea nikiwa na evidence.

Kuna familia ilipata mtoto wa pili. Mtoto alivyozaliwa alipewa jina fulani. Lakini makuzi ya mtoto huyo hayakuwa marahisi, alikuwa analia sana, kula kwa shida, ana kuwa explosive sana, alidhoofika.

Kwa kuwa baba wa mtoto hana baba (ameshafariki) alilazimika kumshirikisha baba yake mkubwa, ndio baba mkubwa wake akamuuliza kwani mtoto wa kwanza ulimuita jina gani? Baba wa mtoto akajibu kuwa alimpa mtoto wa kwanza jina la baba yake, then mtoto wa pili jina la mjomba wake.

Ndipo baba mkubwa wake aka suggest huyo mtoto huyo wa pili aitwe jina la babu yake., kwa maana mtoto kulia sana inaweza kuwa babu analalamika mbona mtoto amehenziwa na jina kabla yake.

So yule mtoto, alibadieishw jina akaitwa la babu, na tangu hapo mtoto alitulia sana na hata akaanza kuwa mvi kidogo kichwani na vitabia vya kumfanana marehemu babu.
 
Back
Top Bottom