Nini Kipo Nyuma ya Lady Jay Dee na Salama Jabir?

Nimeona kwenye interview ya Salama na Jay Dee Salama na Jay Dee wote wamekiri kuwa hawana watoto. Najua hawa wote wameshafika 40+. wanaume wa Darisalama mnafeli wapi??

Uzi tayari.
kuna mmoja hapo ni Brender na Mwingine Mayai yake amekulia chips yote na amewai enda South Africa,France kupandikizwa mimba zote zinatoka😭
 
Watu wa vijijini mnajua uanaume ni ngono tu. Ni rahisi kwenu kua na akili hizo maana bajeti ya familia yako ya watoto nane kwa mwaka ni ndoo kubwa ya mahindi na kisado cha maharage.

Watoto hupeleki shule unasubiri kumzeesha kwa kumuozesha kwa kigagula chochote hapo kijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…