Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
- Thread starter
- #41
alitoa mimba au..?kazi ya brender ni kusaga...Jiogeze hadi hapo sasa. Nimesaidia kutafsiri tu lakini sio msimamo wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alitoa mimba au..?kazi ya brender ni kusaga...Jiogeze hadi hapo sasa. Nimesaidia kutafsiri tu lakini sio msimamo wangu.
Jamaa alimaanisha kuwa mdada hyo ni msagaji kwa mujibu wake.alitoa mimba au..?
Sema wewe haujawahi kukutana na sie wanaume wa huku tandale kwa mtogole na mfuga mbwa..Dar hakuna wanaume wakitokea atapata bwana. Wanaume wa Dar wanakimbia panya road.
duuu!! hiyo lugha hatariJamaa alimaanisha kuwa mdada hyo ni msagaji kwa mujibu wake.
Ni kweli ni Tom boy au mrembo tuKama huamini pita kushoto
Msagajibrender ndo nini?
jide sio tom boyTom boy hao
Haya ndio mnawaza wanaume wa Dar!
Unasema?Kulikoni mkuu?
Unasema?
Kwani shida ipo wapi? Hayo ni maamuzi ya mtu binafsi, kwani kuna sheria inayolazimisha kuwa ni lazima ukifikisha miaka 40 uwe na mtoto/watoto?Nimeona kwenye interview ya Salama na Jay Dee Salama na Jay Dee wote wamekiri kuwa hawana watoto. Najua hawa wote wameshafika 40+. wanaume wa Darisalama mnafeli wapi??
Uzi tayari.
Hapo sasa.Kwani shida ipo wapi? Hayo ni maamuzi ya mtu binafsi, kwani kuna sheria inayolazimisha kuwa ni lazima ukifikisha miaka 40 uwe na mtoto/watoto?
Sasa ukaoe mke kama huyo aliyevaa kipensi unajiamini nini,unaweza lala ukajikuta anataka akufumue rinda kwa vidole au ukazaa nae tegemea thamani ya kichwa chako kupotezwa thamani na watu au mmesahau yule mke wa sugu.
Meko mwenyewe kahamia Dom, Dar imemshinda. Aje atamke kuwa naye si mwanaume, wenye jiji lao walimwambia umetukuta na utatuacha hapa hapa.Magufuli akasema kama mwanaume kweli utabaki Dar. Wanaume tumekomaa naye humu humu, wanawake na wanaume wa uongo wakakimbilia mikoani huko.
Sasa Rais mwenyewe kashadeclare wanaume watabaki wapi wewe na hotspot yako ya kijiji inayowashwa kwa dakika nne nne unataka kusema nini?
Mambo yao waachiwe wenyewe hakuna sheria inayosema mwanamke akifikisha 40+ awe na watoto.Kulikoni?