Nini Kipo Nyuma ya Lady Jay Dee na Salama Jabir?

Nini Kipo Nyuma ya Lady Jay Dee na Salama Jabir?

Nilibahatika kumuona Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akiwa kwenye Kampeni za uchaguzi huu uliopita, akisikitika sana baada ya kufika mahali (sipakumbuki ni wapi), ambapo Serikali imejenga kituo kipya cha afya, halafu akakuta hakuna watoto wanaofyatuliwa kwenye kituo hicho. Alisikitika sana kukuta hakuna watoto wanaozalishwa kwenye kituo hicho. JPM mwenyewe alkishatoa ruhusa ya kufyatua siku nyingi!
Vipi jpm anatoa pesa ya matunzo pia!
 
40+ kote huko akivuka 16 bila mtoto ujue ana matatizo
Hilo la kuwa na matatizo siwezi kupinga ingawaje sio LAZIMA kwamba kila aliye 40+ na hana mtoto basi ana matatizo! Kuna uwezekano mkubwa kwamba Jay Dee ana matatizo kwa sababu amekaa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 8 lakini kuna wengine hawapo kwenye ndoa, na hawapo tayari kuwa na mtoto kupitia shows za mchangani!

It's too soon kum-judge Salama kwa level ile ile ya JayDee kwa sababu life style ya Salama mwenyewe wala haielekei anatamani kuanza kunyonyesha!!
 
Kukosa Mtoto Kwa Mwanamke Wa Dar Es Salaam Ni Kufeli Kwake Ama Wanaume Wa Dar Es Salaam?!!!

Mimba inaweza Kukosekana kwa Sababu nyingi za hitilafu za kiafya nje ya "kufaulu" vyema kwa Wanaume wa Dar es salaam....

All and all atoaye RIZIKI BORA ni MUNGU MWENYEZI.....
 
Ni vile hatujui tu nini kinaendelea kwenye maisha halisi ya hawa celebrities,
Na bora tusijue tu, tuwapokee kwa kile wanachotuletea, mengine weka kapuni.

They cries, they regret, they blame, sometimes they even hate themselves.
 
Vipi jpm anatoa pesa ya matunzo pia!
Hilo sasa sijui ila pia mimi niliona yuko sahihi kwa sababu kwenye kituo cha afya panatakiwa awepo angalau mtoto aliyezaliwa. Hili swala la watoto kukosekana kabisa nadhani siyo la kawaida. Vile vile mimi ninadhani kuwa msukumo mkubwa wa Serikali kusambaza vituo vingi vya afya unasababishwa na mojawapo ya sababu kubwa ya kupunguza mortality rate ya akina mama wajawazito pamoja na watoto wachanga. Kama uliwahi kumsikiliza Waziri wa Afya wakati wa kampeni, utagundua kuwa vituo vya afya vimesaidia sana kupunguza vifo vya mama na mtoto tangu awamu ya tano ilipoingia madarakani. Kwa hiyo Serikali wao wamejenga vituo vya afya vingi na bado wanaendelea kujenga, kwa sababu statistics zao zinawaonyesha kuwa kulikuwa na mismatch kubwa sana kati ya wahitaji wa vituo hivyo ambao wengi wao ni akina mama wajawazito. Hivyo basi, kwa kipindi hiki inapotokea Waziri Mkuu amefika sehemu na kukuta hakuna watoto wanazalishwa kwenye kituo cha afya alichojenga, ni lazima tu aulize maswali. Hata kama ungekuwa wewe lazima ungepata kitu fulani cha kujiuliza kichwani
 
Back
Top Bottom