Cecili
Member
- Oct 31, 2020
- 5
- 1
Nimeona kwenye interview ya Salama na Jay Dee Salama na Jay Dee wote wamekiri kuwa hawana watoto. Najua hawa wote wameshafika 40+. wanaume wa Darisalama mnafeli wapi??
Uzi tayari.
Salama mtoto anaye na yuko kwao zanzibar mkubwa tu