Nini Kipo Nyuma ya Lady Jay Dee na Salama Jabir?

Nini Kipo Nyuma ya Lady Jay Dee na Salama Jabir?

Tusiwabeze ila tuwaombee kwa Mungu awasaidie wanawake wote wanaotamani watoto wapate.
Kati ya vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wa binadamu ni hili

Ingekua sio hisani ya wanawake wakishirikiana na ndugu, jamaa, majirani na marafiki wanaume wengi pia wangepatwa na hiki kilio cha kukosa watoto.

Wakubwa tuu ndio watanielewa
Kweli kabisa.
 
Rumours has it in Town that Salama she ain’t straight
 
kuna mmoja hapo ni Brender na Mwingine Mayai yake amekulia chips yote na amewai enda South Africa,France kupandikizwa mimba zote zinatoka[emoji24]
Muogope Mungu haya mambo hayana sterling...
 
Watu wa vijijini mnajua uanaume ni ngono tu. Ni rahisi kwenu kua na akili hizo maana bajeti ya familia yako ya watoto nane kwa mwaka ni ndoo kubwa ya mahindi na kisado cha maharage.

Watoto hupeleki shule unasubiri kumzeesha kwa kumuozesha kwa kigagula chochote hapo kijijini.
Mzee baba watoto 8 bajeti debe 1 la mahindi kwa familia za kijijiñi?
Hujaishi vijijini mkuu
 
Back
Top Bottom