Nini Kipo Nyuma ya Lady Jay Dee na Salama Jabir?

Nini Kipo Nyuma ya Lady Jay Dee na Salama Jabir?

Duuuh people have some hurtful and judgemental comments in here.
Hata kama tumejificha nyuma ya keyboard kuna maneno sio ya kumtamkia binadamu mwenzako maana sie wote binadamu tuna mauchafu yetu ambayo hatutaki watu wayajue...tujaribu kuwa considerate.
Kama wanadhambi zao ama kama kuna maisha wanayoishi tuwaachie wao na Muumba wao.l yeye ndio atawahukumu wao....chujeni maneno yenu mna watoto jamani
 
Tusiwabeze ila tuwaombee kwa Mungu awasaidie wanawake wote wanaotamani watoto wapate.
Kati ya vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wa binadamu ni hili

Ingekua sio hisani ya wanawake wakishirikiana na ndugu, jamaa, majirani na marafiki wanaume wengi pia wangepatwa na hiki kilio cha kukosa watoto.

Wakubwa tuu ndio watanielewa
 
yani hapo mjini mnajitoa mhanga na mambo ya siasa lakini kwenye haya mnacheza chini kwanini😁😁😁
wenye kutaka smart brains ni nini mnakosa jehova shama🙄
 
Tusiwabeze ila tuwaombee kwa Mungu awasaidie wanawake wote wanaotamani watoto wapate.
Kati ya vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wa binadamu ni hili

Ingekua sio hisani ya wanawake wakishirikiana na ndugu, jamaa, majirani na marafiki wanaume wengi pia wangepatwa na hiki kilio cha kukosa watoto.

Wakubwa tuu ndio watanielewa
Umeongea kama wazee kumi wa kijiji....busara nyingi sana.BAadhi ya statements humu zinaumiza.
 
Acha tuu Binti1 kuna wanaume wanawananga wanawake wanaotafuta watoto bila mafanikio kwa kujidai wao wana uwezo wa kuzaa.... wangejua wangejinyamazia tuu. Wanawake wana vifua jamani
Wanalelea wenzao af wanatembea vifua mbele [emoji23]
 
Wanalelea wenzao af wanatembea vifua mbele [emoji23]

Unakuta mwanaume analea watoto wa kaka yake, au mdogo wake au wa baba yake mzazi. Mwenywe anajisifia anafanana sana na wanawe kumbe mwenyewe anafanana na mshua. Wanaume kwenye issue ya watoto wakubwa wanawasaidia sana kuitwa baba msijidai kumnamnanga lady jaydee🙄
 
Back
Top Bottom