Nini kipo nyuma ya mafanikio ya Lady Jay dee

y-n

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
2,389
Reaction score
2,510
Ni mmoja kati ya wasanii hapa nchini wenye mafanikio makubwa sana kimuziki na hata kiuchumi.
Ni kitu gani kipo nyuma ya mafanikio yake?
Msaada tafadhali.
 
Ana kipaji, anaishi kama mtu mzima kweli, ana malengo ya kimaendeleo kwa kile Mungu anachomjalia kupitia kipaji chake(kipato), haishi kujishow off na nguo, viatu na magari ya kununuliwa na Mapedezyee wa mjini, anaishi kwa jasho lake, ndio maana hadhaliliki hovyo kama Mastaa wengine wa kike, Mungu aendelee kumbariki, wanaotaka wamuaibishe, aaibike, waaibike wao!
 
Every successful man there is woman behind and everry successful woman there is a MAN behind.

She has a man of value behind her.
 
yahaya alipomtongoza alimkatalia kwa sababu hajui anaishi wapi....(hapendi kuyumbishwa na midume)
 
Ni mmoja kati ya wasanii hapa nchini wenye mafanikio makubwa sana kimuziki na hata kiuchumi.
Ni kitu gani kipo nyuma ya mafanikio yake?
Msaada tafadhali.

alikuwa mwanakwaya kanisani hivyo walimshep kimaadili name uwezo wake wa kujituma, kipaji na kujitambua.
 
Nimeipenda gari yake mpya.
Ni kweli mpambanaji.
 
Ana kipaji, anaishi kama mtu mzima kweli, ana malengo ya kimaendeleo kwa kile Mungu anachomjalia kupitia kipaji chake(kipato), haishi kujishow off na nguo, viatu na magari ya kununuliwa na Mapedezyee wa mjini, anaishi kwa jasho lake, ndio maana hadhaliliki hovyo kama Mastaa wengine wa kike, Mungu aendelee kumbariki, wanaotaka wamuaibishe, aaibike, waaibike wao!

Na watu wote waseme Ameen....

Sosi: Babu Asprin
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom