Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mmoja kati ya wasanii hapa nchini wenye mafanikio makubwa sana kimuziki na hata kiuchumi.
Ni kitu gani kipo nyuma ya mafanikio yake?
Msaada tafadhali.
Ana kipaji, anaishi kama mtu mzima kweli, ana malengo ya kimaendeleo kwa kile Mungu anachomjalia kupitia kipaji chake(kipato), haishi kujishow off na nguo, viatu na magari ya kununuliwa na Mapedezyee wa mjini, anaishi kwa jasho lake, ndio maana hadhaliliki hovyo kama Mastaa wengine wa kike, Mungu aendelee kumbariki, wanaotaka wamuaibishe, aaibike, waaibike wao!