Every successful man there is woman behind and everry successful woman there is a MAN behind.
She has a man of value behind her.
Every successful man there is woman behind and everry successful woman there is a MAN behind.
She has a man of value behind her.
Subutu!!
Hutaki nini???!!
alikataa kunyonywa,hiyo ndio siri ya mafanikio yakeNi mmoja kati ya wasanii hapa nchini wenye mafanikio makubwa sana kimuziki na hata kiuchumi.
Ni kitu gani kipo nyuma ya mafanikio yake?
Msaada tafadhali.
Ni mmoja kati ya wasanii hapa nchini wenye mafanikio makubwa sana kimuziki na hata kiuchumi.
Ni kitu gani kipo nyuma ya mafanikio yake?
Msaada tafadhali.
Sio kama kina fulani kelelee tu tuna pesaaaaa,pesaa ni matendo sio mdomoni kama kina fulaniii washang'anywaa vifaa ni vya kuhongwaa kumbee