Nini kipo nyuma ya mafanikio ya Lady Jay dee

Nini kipo nyuma ya mafanikio ya Lady Jay dee

Anasikiliza ushauri tunao mpa, najivunia kumshauri na akaufanyia kazi ushauri wangu.
 
Every successful man there is woman behind and everry successful woman there is a MAN behind.

She has a man of value behind her.

This is exactly the reason for her success. Kwenye kuoa au kuolewa ndipo pana determine success or failure in life. Ukioa mzembe sahau kufanikiwa, ila ukioa jembe, mafanikio ni lazima maana hata ukilala yeye anakuamsha. Hongera sana JD, nimefurahi kuona amenunua gari mupya Range Rover Evoque....Safi Mama. Wasanii wengine endeleeni kuvuta Bangi na kula unga na kupaka poda....tehe tehe tehe....
 
Ni mmoja kati ya wasanii hapa nchini wenye mafanikio makubwa sana kimuziki na hata kiuchumi.
Ni kitu gani kipo nyuma ya mafanikio yake?
Msaada tafadhali.
alikataa kunyonywa,hiyo ndio siri ya mafanikio yake
 
Ni mmoja kati ya wasanii hapa nchini wenye mafanikio makubwa sana kimuziki na hata kiuchumi.
Ni kitu gani kipo nyuma ya mafanikio yake?
Msaada tafadhali.

NYUMA YAKE NI FREEMASON:msela:
 
Juhudi. kutokukata tamaa na malengo ndio mafanikio yake.
 
unapozungumzia Malkia wa muziki Tanzania kutokana na kizazi basi n hayati Bi.Kidude,Khadija Koppa na Lady Jay Dee...wanajituma na kupenda kazi zao na kutokana na kichwa cha Lady Jay Dee ni basi tu yuko Tanzania ila angekuwa mbele angmiliki mara dufu zaidi ya ambavyo watu wanajiuliza na kushangaa kavipata vip.
 
Hiyo range itazua mjadala mkubwa apa town, hapana chezeA anaconda ila na uwoya nae anamiliki range lakini
 
Sio kama kina fulani kelelee tu tuna pesaaaaa,pesaa ni matendo sio mdomoni kama kina fulaniii washang'anywaa vifaa ni vya kuhongwaa kumbee
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Sio kama kina fulani kelelee tu tuna pesaaaaa,pesaa ni matendo sio mdomoni kama kina fulaniii washang'anywaa vifaa ni vya kuhongwaa kumbee

Hana misifa ya kijinga, anajielewa, anajua nini anafanya, hafuati mkumbo kama wajinga wajinga.
 
Shikamoo Jide

blogger-image--1068532001.jpg
 
Back
Top Bottom