Nini kipo nyuma ya misaada ya kukabiliana na COVID-19 anayoendelea kutoa Rostam Aziz?

Ujamaa umefifisha sana akili zenu watanzania. Yaani mtu kuwa tajiri mnaona kama laana vile na Ndo mana wengi wetu maisha yetu ni ya umasikini wa kutupwa hadi kwenye janga la kidunia Corona serikali inahofia kuweka Total lockdown.

Dunia nzima matajiri wanajitolea kusaidia wananchi wao na serikali zao na huko hakuna hata nongwa. Hapa Rostam anajitolea badala mumshukuru ila still mnaendekeza roho zenu za chuki na uchawi.
Tunamshukuru MCHINA KWA KUTUSAIDIA...
 
Walikuwepo mapacha wa Tatu zama za Kikwete,katika mapacha wale pacha mmoja ndiye mwenye kuonekana na mwenye majukumu katika awamu hii.
 
Napata ukakasi na kasi ya utoaji misaada ya huyu TAJIRI, MFANYA BIASHARA NA MWANASIASA ROSTAM AZIZ...

Anamwaga pesa mno.. .. Na tunajua wazi MFANYABIASHARA huwa hapotezi pesa kizembe bila kutarajia RETURN...

Vitabu vinasema TAJIRI kuingia ufalme wa MBINGUNI ni sawa na NGAMIA kupenya kwenye tundu la sindano...

Na unaiona misaada mingi inapelekwa sehemu zisizo stahili ambazo kuwafikia walengwa ni nadra. ..

Ni sawa kutoa msaada wa mikate kwa wakazi wa MASAKI MWISHO. ..

yaani kapeleka mashine ya kuspray dawa bungeni na waandishi juu. .. Yaani wabunge nao hawajiwezi.. Mara mapesa kwa waziri Mkuu. ..

Alafu juzi kagawa tu-sabuni kwa wananchi...

NAJIULIZA. .. WHAT IS NEXT AFTER WHAT IS ROSTAM DOING NOW.. .?

ALLAHU A'ALAM.. .
Hata we ukijikakamua ukawanunulia jamaa zako barakoa hata 10 tu wapo watakaokutilia shaka kama unavofanya hivi
 
Napata ukakasi na kasi ya utoaji misaada ya huyu TAJIRI, MFANYA BIASHARA NA MWANASIASA ROSTAM AZIZ...

Anamwaga pesa mno.. .. Na tunajua wazi MFANYABIASHARA huwa hapotezi pesa kizembe bila kutarajia RETURN...

Vitabu vinasema TAJIRI kuingia ufalme wa MBINGUNI ni sawa na NGAMIA kupenya kwenye tundu la sindano...

Na unaiona misaada mingi inapelekwa sehemu zisizo stahili ambazo kuwafikia walengwa ni nadra. ..

Ni sawa kutoa msaada wa mikate kwa wakazi wa MASAKI MWISHO. ..

yaani kapeleka mashine ya kuspray dawa bungeni na waandishi juu. .. Yaani wabunge nao hawajiwezi.. Mara mapesa kwa waziri Mkuu. ..

Alafu juzi kagawa tu-sabuni kwa wananchi...

NAJIULIZA. .. WHAT IS NEXT AFTER WHAT IS ROSTAM DOING NOW.. .?

ALLAHU A'ALAM.. .
Sasa kama Serikali haifanyi hayo anayofanya na yeye ana Maarifa kuliko Serikali kwanini asifanye?
 
Rostam nakumbuka dowans alipiga bil 300+ duh! wacha atoe sadaka tu.

Kwanza utajiri alio nao wa 1bilion Us yaani ana utajiri wa 20% ya hazina ya Tanzania.

Na uo ni utajiri unaojulikana tu. bado magumashi wacha atoe msaada ana haki.
 
kuna mdau aliwahi kusem humu kuwa kuna siku Rostam Aziz atapiga bonge moja ya tukio hadi kila mtu atakaa chin

Sisi raia wa nchi hii tumerogwa kwani hatuna kumbukumbu ya nini kilitusibu wakati wa enzi za Mkapa akiwa RAIS na Marehemu Daudi Balali akiwa gavana wa BOT!!! Huyu Rostam Aziz ndio alikuwa architect wa wizi wa fedha Benki Kuu ukijulikana kama EPA!!!! Timing yake ni perfect na ameishajua weaknesses ya JIWE kuwa akimuingia Makonda basi njia nyeupe!!!
 
Subiri Kifuatacho ITV ....
ITV.png
 
Mnaowajua walengwa si muwapelekee nyinyi!
 
...utajiri sio dhambi jamani,Ila chuki,hasadi na umbea ndio dhambi...

...mbona kuna watu kule mjengoni wanatupiga sana lakini hatujasikia ata misaada yao...
 
PIGA KELELEEEEE KWA ROSTAM WETUUUUUUU, WEEEEEEWEEEEEEEEEEEEEEE
 
Lile sakata la Dowans lilichezwa kwa umakini sana.

kuanzia hapo ndo nikafahamu kuwa wanaoiba serikalini sio vilaza, ni watu wenye taaluma na uthubutu.

Rostam nakumbuka dowans alipiga bil 300+ duh! wacha atoe sadaka tu.

Kwanza utajiri alio nao wa 1bilion Us yaani ana utajiri wa 20% ya hazina ya Tanzania.

Na uo ni utajiri unaojulikana tu. bado magumashi wacha atoe msaada ana haki.
 
Ukitoa mnahoji usipotoa mnahoji?
Sasa mnatakaje?

Wapi mtoa msaada yeye asiwe na faida .. Vivyo hivyo mpokea msaada ananufaika
Mfano zile machine zina nembo ya kampuni maana yake tangazo kwenye taasisi nyeti bila kulipia ktk kubrand hilo jina jipya
 
Napata ukakasi na kasi ya utoaji misaada ya huyu TAJIRI, MFANYA BIASHARA NA MWANASIASA ROSTAM AZIZ...

Anamwaga pesa mno.. .. Na tunajua wazi MFANYABIASHARA huwa hapotezi pesa kizembe bila kutarajia RETURN...

Vitabu vinasema TAJIRI kuingia ufalme wa MBINGUNI ni sawa na NGAMIA kupenya kwenye tundu la sindano...

Na unaiona misaada mingi inapelekwa sehemu zisizo stahili ambazo kuwafikia walengwa ni nadra. ..

Ni sawa kutoa msaada wa mikate kwa wakazi wa Masaki Mwisho.

yaani kapeleka mashine ya kuspray dawa bungeni na waandishi juu. .. Yaani wabunge nao hawajiwezi.. Mara mapesa kwa waziri Mkuu. ..

Alafu juzi kagawa tu-sabuni kwa wananchi...

NAJIULIZA. .. WHAT IS NEXT AFTER WHAT IS ROSTAM DOING NOW.. .?

ALLAHU A'ALAM.. .
Wewe kwa sababu ya hisia mbaya za kisiasa unakuwa na hofu. Lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa anamiliki kampuni nyingi tu,Kama Caspian na Taifa gas. Kufanya kitu kinachoitwa corporate social responsibility ni jambo la kawaida kabisa. Acha woga kisa tu mlishabatiza jina King maker.
 
Back
Top Bottom