Hawa natural strikers hawa wakiwa golini, ni nadra sana kufanya makosa.kuna mdau aliwahi kusem humu kuwa kuna siku Rostam Aziz atapiga bonge moja ya tukio hadi kila mtu atakaa chini.
Tunamshukuru MCHINA KWA KUTUSAIDIA...Ujamaa umefifisha sana akili zenu watanzania. Yaani mtu kuwa tajiri mnaona kama laana vile na Ndo mana wengi wetu maisha yetu ni ya umasikini wa kutupwa hadi kwenye janga la kidunia Corona serikali inahofia kuweka Total lockdown.
Dunia nzima matajiri wanajitolea kusaidia wananchi wao na serikali zao na huko hakuna hata nongwa. Hapa Rostam anajitolea badala mumshukuru ila still mnaendekeza roho zenu za chuki na uchawi.
Hata we ukijikakamua ukawanunulia jamaa zako barakoa hata 10 tu wapo watakaokutilia shaka kama unavofanya hiviNapata ukakasi na kasi ya utoaji misaada ya huyu TAJIRI, MFANYA BIASHARA NA MWANASIASA ROSTAM AZIZ...
Anamwaga pesa mno.. .. Na tunajua wazi MFANYABIASHARA huwa hapotezi pesa kizembe bila kutarajia RETURN...
Vitabu vinasema TAJIRI kuingia ufalme wa MBINGUNI ni sawa na NGAMIA kupenya kwenye tundu la sindano...
Na unaiona misaada mingi inapelekwa sehemu zisizo stahili ambazo kuwafikia walengwa ni nadra. ..
Ni sawa kutoa msaada wa mikate kwa wakazi wa MASAKI MWISHO. ..
yaani kapeleka mashine ya kuspray dawa bungeni na waandishi juu. .. Yaani wabunge nao hawajiwezi.. Mara mapesa kwa waziri Mkuu. ..
Alafu juzi kagawa tu-sabuni kwa wananchi...
NAJIULIZA. .. WHAT IS NEXT AFTER WHAT IS ROSTAM DOING NOW.. .?
ALLAHU A'ALAM.. .
Sasa kama Serikali haifanyi hayo anayofanya na yeye ana Maarifa kuliko Serikali kwanini asifanye?Napata ukakasi na kasi ya utoaji misaada ya huyu TAJIRI, MFANYA BIASHARA NA MWANASIASA ROSTAM AZIZ...
Anamwaga pesa mno.. .. Na tunajua wazi MFANYABIASHARA huwa hapotezi pesa kizembe bila kutarajia RETURN...
Vitabu vinasema TAJIRI kuingia ufalme wa MBINGUNI ni sawa na NGAMIA kupenya kwenye tundu la sindano...
Na unaiona misaada mingi inapelekwa sehemu zisizo stahili ambazo kuwafikia walengwa ni nadra. ..
Ni sawa kutoa msaada wa mikate kwa wakazi wa MASAKI MWISHO. ..
yaani kapeleka mashine ya kuspray dawa bungeni na waandishi juu. .. Yaani wabunge nao hawajiwezi.. Mara mapesa kwa waziri Mkuu. ..
Alafu juzi kagawa tu-sabuni kwa wananchi...
NAJIULIZA. .. WHAT IS NEXT AFTER WHAT IS ROSTAM DOING NOW.. .?
ALLAHU A'ALAM.. .
Jack Ma, by the wayKawaida tu hiyo mzee, wakina Jack Mo wametoa mabilion ya dollars kuisaidia Africa kupambana na Covid 19, so tusimtafute nani mchawi hapa
kuna mdau aliwahi kusem humu kuwa kuna siku Rostam Aziz atapiga bonge moja ya tukio hadi kila mtu atakaa chin
Rostam nakumbuka dowans alipiga bil 300+ duh! wacha atoe sadaka tu.
Kwanza utajiri alio nao wa 1bilion Us yaani ana utajiri wa 20% ya hazina ya Tanzania.
Na uo ni utajiri unaojulikana tu. bado magumashi wacha atoe msaada ana haki.
Wewe kwa sababu ya hisia mbaya za kisiasa unakuwa na hofu. Lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa anamiliki kampuni nyingi tu,Kama Caspian na Taifa gas. Kufanya kitu kinachoitwa corporate social responsibility ni jambo la kawaida kabisa. Acha woga kisa tu mlishabatiza jina King maker.Napata ukakasi na kasi ya utoaji misaada ya huyu TAJIRI, MFANYA BIASHARA NA MWANASIASA ROSTAM AZIZ...
Anamwaga pesa mno.. .. Na tunajua wazi MFANYABIASHARA huwa hapotezi pesa kizembe bila kutarajia RETURN...
Vitabu vinasema TAJIRI kuingia ufalme wa MBINGUNI ni sawa na NGAMIA kupenya kwenye tundu la sindano...
Na unaiona misaada mingi inapelekwa sehemu zisizo stahili ambazo kuwafikia walengwa ni nadra. ..
Ni sawa kutoa msaada wa mikate kwa wakazi wa Masaki Mwisho.
yaani kapeleka mashine ya kuspray dawa bungeni na waandishi juu. .. Yaani wabunge nao hawajiwezi.. Mara mapesa kwa waziri Mkuu. ..
Alafu juzi kagawa tu-sabuni kwa wananchi...
NAJIULIZA. .. WHAT IS NEXT AFTER WHAT IS ROSTAM DOING NOW.. .?
ALLAHU A'ALAM.. .
Standard gejiiiiiiiiiiiiiiPIGA KELELEEEEE KWA ROSTAM WETUUUUUUU, WEEEEEEWEEEEEEEEEEEEEEE