Yanga wamegawa mifuko 130 ya cement kwa wahanga wa mafuriko RwandaUnaongelea nini mkuu?
System nzima ya mpira wa miguu ina mfumo wa kishetani, hata usiporoga. Kuna roho za giza katika sokaSisi timuyetu tunapata matokeo kwa ulozi tu, Kule south Africa yali tutokea puani lakini tumesema hatukomi.
Wachezaji wetu nao wanakwenda na utamaduni wa timu yetu, Nimwendo wa kupigana misumari tu.
70 umeipeleka wapi? wametoa 200Yanga wamegawa mifuko 130 ya cement kwa wahanga wa mafuriko Rwanda
kujenga urafikiKuna kanuni moja ambayo inasema
Pata ili utoe
Natoa ili upate
Kwenye vitabu vya dini vinasema ili upate baraka za Mungu ni lazima ukumbuke maskini
Pia kwa shetani kuna kanuni ambayo inasema nipe nikupe alafu husisau maskini
Je yanga wanatoa ili watimize masharti ya Nani Kati ya Mungu na shetani
Maana dah baada ya yanga kuanza utamaduni wao huu hakika baraka wamejaliwa
Sio ugenini au nyumbani ni mwendo wa twende twende tu
Okay, pale niliposoma waliandika 13070 umeipeleka wapi? wametoa 200
Mm ningependa kujua chanzo au link ya hii habari yako mkuu.Kwenye vitabu vya dini vinasema ili upate baraka za Mungu ni lazima ukumbuke maskini
Kuna kanuni moja ambayo inasema
Pata ili utoe
Natoa ili upate
Kwenye vitabu vya dini vinasema ili upate baraka za Mungu ni lazima ukumbuke maskini
Pia kwa shetani kuna kanuni ambayo inasema nipe nikupe alafu husisau maskini
Je, Yanga wanatoa ili watimize masharti ya nani kati ya Mungu na shetani
Maana dah baada ya Yanga kuanza utamaduni wao huu hakika baraka wamejaliwa
Sio ugenini au nyumbani ni mwendo wa twende twende tu