Nini kipo nyuma ya misaada ya Yanga ?

Nini kipo nyuma ya misaada ya Yanga ?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kuna kanuni moja ambayo inasema
Pata ili utoe
Natoa ili upate
Kwenye vitabu vya dini vinasema ili upate baraka za Mungu ni lazima ukumbuke maskini
Pia kwa shetani kuna kanuni ambayo inasema nipe nikupe alafu husisau maskini
Je, Yanga wanatoa ili watimize masharti ya nani kati ya Mungu na shetani
Maana dah baada ya Yanga kuanza utamaduni wao huu hakika baraka wamejaliwa
Sio ugenini au nyumbani ni mwendo wa twende twende tu
 
Sisi timuyetu tunapata matokeo kwa ulozi tu, Kule south Africa yali tutokea puani lakini tumesema hatukomi.
Wachezaji wetu nao wanakwenda na utamaduni wa timu yetu, Nimwendo wa kupigana misumari tu.
System nzima ya mpira wa miguu ina mfumo wa kishetani, hata usiporoga. Kuna roho za giza katika soka
 
Kuna kanuni moja ambayo inasema
Pata ili utoe
Natoa ili upate
Kwenye vitabu vya dini vinasema ili upate baraka za Mungu ni lazima ukumbuke maskini
Pia kwa shetani kuna kanuni ambayo inasema nipe nikupe alafu husisau maskini
Je yanga wanatoa ili watimize masharti ya Nani Kati ya Mungu na shetani
Maana dah baada ya yanga kuanza utamaduni wao huu hakika baraka wamejaliwa
Sio ugenini au nyumbani ni mwendo wa twende twende tu
kujenga urafiki
 
Kuna kanuni moja ambayo inasema
Pata ili utoe
Natoa ili upate
Kwenye vitabu vya dini vinasema ili upate baraka za Mungu ni lazima ukumbuke maskini
Pia kwa shetani kuna kanuni ambayo inasema nipe nikupe alafu husisau maskini
Je, Yanga wanatoa ili watimize masharti ya nani kati ya Mungu na shetani
Maana dah baada ya Yanga kuanza utamaduni wao huu hakika baraka wamejaliwa
Sio ugenini au nyumbani ni mwendo wa twende twende tu

Kafara
 
Back
Top Bottom