Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Nimekuwa nikijiuliza maswali tele, kuwa ni nini hasa kipo nyuma ya ubunge? Kwanini watu wanaufukuzia kwa kiwango cha kutisha hivi.
Unakuta mtu tayari ana uchumi mkubwa....ana miradi yake ipo stable tu, lakini bado anausaka ubunge...
Angalia mtu kama Abood, late Mkono nk
Utakuta mwingine ana ajira yenye masilahi manono lakini bado ana risk nafasi yake kwa kwenda kugombea.....
Mifano ni watu kama kadogosa, Wakuu wa Mikoa, nk
Utakuta mwingine ni mtu mwenye heshima zake, ana pesa zake, ana ndoa yake, ana miradi yake,
Chukulia mtu kama SALMA RASHIDI KIKWETE........Huyu mama naamini hakuwahi kuwaza kuwa mbunge kabla hajateuliwa na Magufuli kama surprise.....lakini leo hii humwambii kitu kuhusu ubunge.
Utakuta mwingine aliwahi kuwa kiongozi wa juu sana serikalini...
Kama ni Fedha na Heshima alichuma, akala, akasaza lakini bado hayupo kuuachia ubunge umpite......
yaan mpaka watu wamfuate kumwomba ang'atuke ili ku-retain heshima yake.....
Mtu kama Kassim Majaliwa alitaka kuendelea kuwa mbunge regardless future yake ya kisiasa ingekuweje...
Hata mzee malecela aligombea ubunge licha ya kukoma uwaziri mkuu wake...aliaibika baadae kwa kuangushwa na kibajaji..
Mifano ipo tele, Je labda kuna untold story kuhusu ubunge, mbona umegeuka ulevi wa watu.
Juma Homera amebet ajira yake na kwenda kwenye kinyang'anyiro cha kufukuzia ubunge kwao Ruvuma ambao hana uhakika.....huku akijua kwamba akifeli hawezi tena kuikuta nafasi aliyoiacha..
Mimi naamini hata wastaafu akina Mizengo Pinda huko waliko kwenye retirement bado wanauwazia ubunge sema tu wanaona aibu....huko tuendako wataanza kutangaza nia majimboni.
Huko nyuma first ladies wastaafu walichukuliwa kwa heshima inayokaribu kulingana na waume zao.
Lakini toka hii culture mpya ya kuwateua kwenye siasa za uwakilishi sitashangaa Wastaafu wengine nao wakifuata nyayo za wake zao.