Nini kipo nyuma ya watu maarufu na kesi za kubaka?

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Habari zenu wadau,

Kwa siku za karibuni kumekuwa na mfululizo wa kesi za kubaka hasa kwa watu maarufu hususani wachezaji mpira na wasanii.

Inawezekana ikawa madai yao ni ya kweli au kuna kitu nyuma ya matukio haya wengi wakihusisha na ile dini inatajwa kuwa ya siri kwamba ukikataa au kuenda kinyume na makubaliano basi ndo wanamaliza na wewe kwa njia hyo.

Baadhi ya mastaa hao ni kama ifuatavyo,

1.CRISTIAN RONALDO: Christian Ronaldo kipindi yupo Manchester United aliwahi kukumbwa na kashfa hyo ila ikapotea ikaja kuibuka tena siku za karibuni ila ikapotea bila kwenda mahakamani.

2.KARIM BENZEMA : Karim benzema na yeye ni miongoni mwa watu waliowahi kuwa na skendo kama hiyo iliyomfanya akawa nje ya timu ya taifa kwa miaka mitano.

3.ROBINHO: mchezaji wa zamani wa Manchester city na team ya taifa ya Brazil na yeye ni miongoni mwa watu maarufu walio pata kashfa kama hyo na kuhukumiawa kwenda jela.

4.BENJAMIN MENDY: Mchezaji wa Manchester city na team ya taifa ya ufaransa kwa siku za karibuni zimeibuka taarifa za yeye kubaka na club yake kusitisha mkataba nae ila kesi yake bado inaendelea.

5.R KELLY: Msanii mkongwe kutoka marekani ambaye alihukumiwa kwenda jela kwa kosa la kutembea na binti wa chini ya umri wa miaka 18 ambayo wahusika walidai walijaribu kufuatilia madai yao kwa miaka 20 bila kusikilizwa.

Nadhani humu ndani kuna watu wajuzi na wakongwe,
Je ni kweli wanabaka au ni kesi za mchongo na kwa nini wengi ni watu weusi tu wanaukutwa na hatia.

Wasalam.
 
Uingereza ni wapuuzi wananyanyasa wanaume kisheria. Mabilionea wengi wa Urusi huwa wanashtakiwa kwenye mahakama za Uingereza kwenye suala la taraka.

Kingine hao ni watu maarufu wanakutana na magumegume yanaanzisha kesi ili yalipwe hela. Unakuta mrembo anadai kanyanyaswa kwa miezi miwili na hapo anakaa kwa mwanaume ambaye hajamuoa. Kama kakunyanyasa si unatoka, kwako hapo?

Na watu maarufu taarifa zao ndio zinaenea sana. Kesi za raia wa kawaida zipo nyingi tu.
 
Tuhuma nyingi ni za kutengeneza .mfano chris Brown majuzi hapa kapata same scandal ,cha ajabu victim badala ya kufile case kwa ajili ya justice eti victim anademand pesa.[emoji848]
 
Nimeona hilo pia mwaya, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona wengi wanaona ni kama tuhuma za kutengeneza...

Of course, kutengeneza kupo tena sana tu, na wakati mwingine kwa ajili ya hype au matarajio ya settlement!

Lakini wakati mwingine hayo yanayowakuta mastaa ni yale yale ambayo hata sisi wa kawaida huwa tunayafanya mara kwa mara lakini ndo vile tena!

Hebu sie wanaume wa kawaida tujiulize wenyewe....

Ni mara ngapi tumekuwa tukisema "yaani demu aingie hadi ghetto halafu atoke hivi hivi?"

Hapo tafsiri yake ni: "ametaka, asitake, ataliwa tu"

Na kweli tushakula sana mademu kwa staili hiyo haidhuru hata kama baada ay hapo majority huwa wanachukulia poa tu

Bisheni!!

Hata kwa sheria za Tanzania, hapo man umebaka... ndo vile na mademu wenyewe wanachukulia poa lakini akikupeleka kwa pilato na ikathibitika umemla bila ridhaa, my friend, hapo umembaka!!!

Na kwanini asichukulie poa wakati hata akimsimulia mamake mzazi kwamba amebakwa na akisema alienda mwenyewe ghetto kwa mshikaji basi hata mama yake mzazi nae ataona "kataka mwenyewe"

Lakini kisheria, ile eti kaingia mwenyewe hadi ghetto, ni excuse isiyo na nguvu yoyote..

Na kwa sheria zetu, unaweza kabisa ikawa ulikubaliana nae hapo kabla, tena kama umepelekwa kwa pilato unaenda pale with confidence na SMS zako ukionesha alikubali aje munyanduane, my friends, hiyo haitakusaidia provided kama baada ya kuja ghetto, ukaanza kutumia nguvu!!

Je, mara ngapi tumekuwa tukifanya hivyo?

Kwa kifupi, sheria zetu zinaangalia consent, yaani mwanamke mwenyewe kukubali kukulana na wewe! Hata hivyo, consent inayoangaliwa na wakati wa kufanya tendo lenyewe!! Kwahiyo, YES, wakati anatoka kwao alijua kabisa anaenda kutoa tunda kwa hiyari yake mwenyewe lakini amefika ghetto, anagoma...

Man, hapo ikishathibitika kwamba kulikuwa na penetration, na ikathibitika kulikuwa na struggle kati yenu... labda katika kuhakikisha hatoki bila kulia, ukawa umem-tight kisawasawa hadi ukaacha alama za mshike mshike mwilini mwake, man, hapo you're done na hata kama moja ya messages zake ilikuambia akija mtie hadi mbususu ichubuke, hiyo wala haitakusaidia kwa sababu physical struggle itathibitisha hapakuwa na consent DURING SEXUAL Intercourse!!

Sasa kama hata wewe mwenyewe ushafanya sana hayo, utashangaa yakija kufanywa na hao akina Benzema?!

Na kuna siku nilikuwa naongea na washikaji fulani fulani hivi, nikawaambia wazi hata US,back in 1980's kurudi nyuma haya mambo yanayowakuta akina Cosby leo hii na wenyewe walikuwa wanachukulia poa tu kama ambavyo leo hii tunachukulia poa Bongo!

Lakini Bongo hii hii, watu wakishaamka, usije kushangaa miaka 20 ijayo unakuja kusikia akina Kiba na Diamond nao wanafunguliwa mashtaka ya unyanyasaji wa kingono "wanaofanya sasa" lakini wanaofanyiwa hayo hivi sasa wamekausha!
 
Ulaya na watu weusi wapi na wapi, hawapendwi huko, kama kubaka ndio namna ile basi vijana wengi wangekua jela saivi
 
Kesi ya rkelly ni ya kimchongo sanaa,, the man alikuwa anakuja juu kwa spiid Kali, cia wakamtengenezea mikesi hiyo, waliangalia wiknes yake iko wapi ili wammalize
 
Naona wengi wanaona ni kama tuhuma za kutengeneza...

Of course, kutengeneza kupo tena sana tu, na wakati mwingine kwa ajili ya hype au matarajio ya settlement!

Lakini wakati mwingine hayo yanayowakuta mastaa ni yale yale ambayo hata sisi wa kawaida huwa tunayafanya mara kwa mara lakini ndo vile tena!

Hebu sie wanaume wa kawaida tujiulize wenyewe....

Ni mara ngapi tumekuwa tukisema "yaani demu aingie hadi ghetto halafu atoke hivi hivi?"

Hapo tafsiri yake ni: "ametaka, asitake, ataliwa tu"

Na kweli tushakula sana mademu kwa staili hiyo haidhuru hata kama baada ay hapo majority huwa wanachukulia poa tu

Bisheni!!

Hata kwa sheria za Tanzania, hapo man umebaka... ndo vile na mademu wenyewe wanachukulia poa lakini akikupeleka kwa pilato na ikathibitika umemla bila ridhaa, my friend, hapo umembaka!!!

Na kwanini asichukulie poa wakati hata akimsimulia mamake mzazi kwamba amebakwa na akisema alienda mwenyewe ghetto kwa mshikaji basi hata mama yake mzazi nae ataona "kataka mwenyewe"

Lakini kisheria, ile eti kaingia mwenyewe hadi ghetto, ni excuse isiyo na nguvu yoyote..

Na kwa sheria zetu, unaweza kabisa ikawa ulikubaliana nae hapo kabla, tena kama umepelekwa kwa pilato unaenda pale with confidence na SMS zako ukionesha alikubali aje munyanduane, my friends, hiyo haitakusaidia provided kama baada ya kuja ghetto, ukaanza kutumia nguvu!!

Je, mara ngapi tumekuwa tukifanya hivyo?

Kwa kifupi, sheria zetu zinaangalia consent, yaani mwanamke mwenyewe kukubali kukulana na wewe! Hata hivyo, consent inayoangaliwa na wakati wa kufanya tendo lenyewe!! Kwahiyo, YES, wakati anatoka kwao alijua kabisa anaenda kutoa tunda kwa hiyari yake mwenyewe lakini amefika ghetto, anagoma...

Man, hapo ikishathibitika kwamba kulikuwa na penetration, na ikathibitika kulikuwa na struggle kati yenu... labda katika kuhakikisha hatoki bila kulia, ukawa umem-tight kisawasawa hadi ukaacha alama za mshike mshike mwilini mwake, man, hapo you're done na hata kama moja ya messages zake ilikuambia akija mtie hadi mbususu ichubuke, hiyo wala haitakusaidia kwa sababu physical struggle itathibitisha hapakuwa na consent DURING SEXUAL Intercourse!!

Sasa kama hata wewe mwenyewe ushafanya sana hayo, utashangaa yakija kufanywa na hao akina Benzema?!

Na kuna siku nilikuwa naongea na washikaji fulani fulani hivi, nikawaambia wazi hata US,back in 1980's kurudi nyuma haya mambo yanayowakuta akina Cosby leo hii na wenyewe walikuwa wanachukulia poa tu kama ambavyo leo hii tunachukulia poa Bongo!

Lakini Bongo hii hii, watu wakishaamka, usije kushangaa miaka 20 ijayo unakuja kusikia akina Kiba na Diamond nao wanafunguliwa mashtaka ya unyanyasaji wa kingono "wanaofanya sasa" lakini wanaofanyiwa hayo hivi sasa wamekausha!
mkuu umeongea vizuri sana nazani hii kibongo bongo hamna anae pona
 
Habari zenu wadau,

Kwa siku za karibuni kumekuwa na mfululizo wa kesi za kubaka hasa kwa watu maarufu hususani wachezaji mpira na wasanii.

Inawezekana ikawa madai yao ni ya kweli au kuna kitu nyuma ya matukio haya wengi wakihusisha na ile dini inatajwa kuwa ya siri kwamba ukikataa au kuenda kinyume na makubaliano basi ndo wanamaliza na wewe kwa njia hyo.

Baadhi ya mastaa hao ni kama ifuatavyo,

1.CRISTIAN RONALDO: Christian Ronaldo kipindi yupo Manchester United aliwahi kukumbwa na kashfa hyo ila ikapotea ikaja kuibuka tena siku za karibuni ila ikapotea bila kwenda mahakamani.

2.KARIM BENZEMA : Karim benzema na yeye ni miongoni mwa watu waliowahi kuwa na skendo kama hiyo iliyomfanya akawa nje ya timu ya taifa kwa miaka mitano.

3.ROBINHO: mchezaji wa zamani wa Manchester city na team ya taifa ya Brazil na yeye ni miongoni mwa watu maarufu walio pata kashfa kama hyo na kuhukumiawa kwenda jela.

4.BENJAMIN MENDY: Mchezaji wa Manchester city na team ya taifa ya ufaransa kwa siku za karibuni zimeibuka taarifa za yeye kubaka na club yake kusitisha mkataba nae ila kesi yake bado inaendelea.

5.R KELLY: Msanii mkongwe kutoka marekani ambaye alihukumiwa kwenda jela kwa kosa la kutembea na binti wa chini ya umri wa miaka 18 ambayo wahusika walidai walijaribu kufuatilia madai yao kwa miaka 20 bila kusikilizwa.

Nadhani humu ndani kuna watu wajuzi na wakongwe,
Je ni kweli wanabaka au ni kesi za mchongo na kwa nini wengi ni watu weusi tu wanaukutwa na hatia.

Wasalam.
Kesi ya Benzema unaijua?
 
Cocaaaaaaa come onnnnnnn babeeeee, miss youuuuu. We' acha nitulie na uzee huu
Mic u moaaah babeee [emoji8][emoji8] sasa uzee huo unatakiwa upate toto bichi na dogo dogo km mie nausindikiza uzee wako full raha yaan.
 
Naona wengi wanaona ni kama tuhuma za kutengeneza...

Of course, kutengeneza kupo tena sana tu, na wakati mwingine kwa ajili ya hype au matarajio ya settlement!

Lakini wakati mwingine hayo yanayowakuta mastaa ni yale yale ambayo hata sisi wa kawaida huwa tunayafanya mara kwa mara lakini ndo vile tena!

Hebu sie wanaume wa kawaida tujiulize wenyewe....

Ni mara ngapi tumekuwa tukisema "yaani demu aingie hadi ghetto halafu atoke hivi hivi?"

Hapo tafsiri yake ni: "ametaka, asitake, ataliwa tu"

Na kweli tushakula sana mademu kwa staili hiyo haidhuru hata kama baada ay hapo majority huwa wanachukulia poa tu

Bisheni!!

Hata kwa sheria za Tanzania, hapo man umebaka... ndo vile na mademu wenyewe wanachukulia poa lakini akikupeleka kwa pilato na ikathibitika umemla bila ridhaa, my friend, hapo umembaka!!!

Na kwanini asichukulie poa wakati hata akimsimulia mamake mzazi kwamba amebakwa na akisema alienda mwenyewe ghetto kwa mshikaji basi hata mama yake mzazi nae ataona "kataka mwenyewe"

Lakini kisheria, ile eti kaingia mwenyewe hadi ghetto, ni excuse isiyo na nguvu yoyote..

Na kwa sheria zetu, unaweza kabisa ikawa ulikubaliana nae hapo kabla, tena kama umepelekwa kwa pilato unaenda pale with confidence na SMS zako ukionesha alikubali aje munyanduane, my friends, hiyo haitakusaidia provided kama baada ya kuja ghetto, ukaanza kutumia nguvu!!

Je, mara ngapi tumekuwa tukifanya hivyo?

Kwa kifupi, sheria zetu zinaangalia consent, yaani mwanamke mwenyewe kukubali kukulana na wewe! Hata hivyo, consent inayoangaliwa na wakati wa kufanya tendo lenyewe!! Kwahiyo, YES, wakati anatoka kwao alijua kabisa anaenda kutoa tunda kwa hiyari yake mwenyewe lakini amefika ghetto, anagoma...

Man, hapo ikishathibitika kwamba kulikuwa na penetration, na ikathibitika kulikuwa na struggle kati yenu... labda katika kuhakikisha hatoki bila kulia, ukawa umem-tight kisawasawa hadi ukaacha alama za mshike mshike mwilini mwake, man, hapo you're done na hata kama moja ya messages zake ilikuambia akija mtie hadi mbususu ichubuke, hiyo wala haitakusaidia kwa sababu physical struggle itathibitisha hapakuwa na consent DURING SEXUAL Intercourse!!

Sasa kama hata wewe mwenyewe ushafanya sana hayo, utashangaa yakija kufanywa na hao akina Benzema?!

Na kuna siku nilikuwa naongea na washikaji fulani fulani hivi, nikawaambia wazi hata US,back in 1980's kurudi nyuma haya mambo yanayowakuta akina Cosby leo hii na wenyewe walikuwa wanachukulia poa tu kama ambavyo leo hii tunachukulia poa Bongo!

Lakini Bongo hii hii, watu wakishaamka, usije kushangaa miaka 20 ijayo unakuja kusikia akina Kiba na Diamond nao wanafunguliwa mashtaka ya unyanyasaji wa kingono "wanaofanya sasa" lakini wanaofanyiwa hayo hivi sasa wamekausha!
Hapo umeongea kisheria hiyo CONSENT akina kimasihara wajue. As long as mtu ana malengo na future yake aachane na upuuzi kama huu wanaofanya.

Mimi huwa silazimishi hata avue abaki uchi akigoma hatoamini, atakaa uchi na nyuchi lake. Tena hii issue nilianza kitambo hata bila kujua sheria, huwa nachukia sana sexual harrasment.

Kesi za Mayor Cuomo ni za miaka kibao nyuma kabla sheria hazijabadilika ila wahanga ambao hata that time hawakuumizwa kisheria wanajileta kushitaki kutafuta sifa na pesa
 
Mic u moaaah babeee [emoji8][emoji8] sasa uzee huo unatakiwa upate toto bichi na dogo dogo km mie nausindikiza uzee wako full raha yaan.
Jamani usitake kuniua [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nyege tu mzeee!!! Nothing else hao wote hapo juu hawana wake wanaishi na malaya tu aka girlfriends so hawapati papuchi kwa wakati...na malaya hana huruma na ww, ana angalia maslahi yake tu juu yako. Once ukimpuga kibuti ndipo anapoamua kulipa kisasi kwa kuvujisha siri zako.
 
Hapo umeongea kisheria hiyo CONSENT akina kimasihara wajue. As long as mtu ana malengo na future yake aachane na upuuzi kama huu wanaofanya.

Mimi huwa silazimishi hata avue abaki uchi akigoma hatoamini, atakaa uchi na nyuchi lake. Tena hii issue nilianza kitambo hata bila kujua sheria, huwa nachukia sana sexual harrasment.

Kesi za Mayor Cuomo ni za miaka kibao nyuma kabla sheria hazijabadilika ila wahanga ambao hata that time hawakuumizwa kisheria wanajileta kushitaki kutafuta sifa na pesa
Man,

Hapo tupo pamoja!! Hadi huwa najiuliza inakuaje yaani kwa mfano mtu anaapiza kabisa "yaani demu aingie ghetto halafu atoke hivi hivi"
 
Ishu kubwa ni kuwa most of those young celebs wanapata mamilioni ya pesa wakiwa na umri mdogo, ukimcheki mtu kama mason greenwood ametoka kubaleghe juzi tu halafu kakutana na wenge la pesa na umaarufu ukizingatia elimu ya maisha hana ni lazima pesa na umaarufu umzuzue mwisho wa siku anajikuta anafanya mambo ya ajabu.

Hao footballers kwetu huku ni mabilionea, imagine mtoto wa miaka 20 anamiliki bilioni 20 za kitanzania. Wewe unadhani akili yake itakuwa sawa? starehe gani ataacha kuifanya, mwanamke gani atamtaka akatae!!!

Hata ile trip ya iceland waliofukuzwa na foden yalikuwa hayahaya kuhusu kununua wanawake na kwenda kustarehe nao.

Sasa hivi huyo demu kashakuwa famous, international forums zote zitamuhitaji akafanye interviews n talks kuzungumzia masuala ya ukatili wa kijinsia...huku Mason akiwa kashapoteza carreer yake na hakuna timu itakayomtaka, waingereza ni mabingwa wa propagabda watazidi kumchafua mpk kila kiumbe kimchukie ktk ardhi ya Uingereza.
 
Benzema hakubaka, Alikula demu yupo 17, ambaye ni prostitute. Walitaka kumuonea tu.
 
Back
Top Bottom