Nini kirefu cha RB inayotolewa na Polisi

Nini kirefu cha RB inayotolewa na Polisi

RB kipolisi maana yake ni REPORT BOOK.
Hiyo ina maanisha kuwa kuna mtu amekuja Polisi kutoa taarifa ya tukio la jinai, na polisi wamepokea taarifa hiyo na kuiandika kwenye kitabu chao basi. Hakuna kitu kingine na hakuna chochote cha maana.

Ni sawa na kuingia ofisini na kutia saini kwenye kitabu cha mahudhurio.
Sasa mbona kuna raia huwa wanatumia RB kama kibali cha kumkamata mtu?!
 
Back
Top Bottom