Mara sio malaMala nyingi mtu kutoa mkojo WA manjano na apimapo anakutwa Hana tatizo lolote na kushauliwa kutumia maji ya kutosha ila hata atumiapo maji hayo hakuna mabadiriko.
Ila cha ajabu wakati wa baridi na mvua mkojo wake huwa mweupe hata bila kunywa maji.
NINI CHAWEZA KUWA CHANZO YA HILI TATIZO NA MATIBABU YAKE NI YAPI.?
sawa subiri wataalamu zaidi waje kujibuAhsante kwa masahihisho
Wakati wa joto maji mengi hutoka mwilini kupitia vinyweleo (jasho) lakini wakati wa baridi njia ya kutoa takamwili ni moja tu nayo ni kukojoa tu.
-----wakati wa baridi njia ni moja (kukojoa),wakati wa joto njia ni 2 ( kukojoa na jasho)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasante Mzee kifimbo chezaMara sio mala
Kushauriwa sio kushauliwa
Mabadiliko sio mabadiriko
Huenda ni tatizo kwenye mfumo wa utoaji takamwili
Asante sio Hasante [emoji23]Hasante Mzee kifimbo cheza
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri ila kwa upande WA maji ndio usiseme labda niongeze zifikie Lita saba na kuendelea maana kwa siku natumia zaidi Ya Lita 4Ahsante kwa kumpa somo maridhawa ila kwa kuongezea hapo kwenye mkojo wa manjano nadhani bado haunywi maji ya kutosha kipimo kinachoshauriwa kifafa, ukifuata masharti kamwe hutoona mkojo wa njano .
Usisubiri hadi kiu ikubane eti ndo unywe maji mengi , kunywa glass 4 za maji asbh 4 mchana na 4 jioni kila siku kisha lete mrejesho
Hahaha kawaida mkuu, vipi lakini ufumbuzi wa suala lako umepata?Bora umemwambia maana alikua kaanza kunicheka
Hiyo inatokana na kiasi kikubwa cha maji kunyonywa kwenye loop of Henle ,hivyo mkojo unaotoka unakuwa na kiasi kidogo sana cha maji na solutes nyingi.Mala nyingi mtu kutoa mkojo WA manjano na apimapo anakutwa Hana tatizo lolote na kushauliwa kutumia maji ya kutosha ila hata atumiapo maji hayo hakuna mabadiriko.
Ila cha ajabu wakati wa baridi na mvua mkojo wake huwa mweupe hata bila kunywa maji.
NINI CHAWEZA KUWA CHANZO YA HILI TATIZO NA MATIBABU YAKE NI YAPI.?
Ahsante mkuu kwa maelezo hayo je inatokeaje ikawa maji natumia takiribani ni Lita nne na zaidi kwa siku lakini mkojo haubadiliki rangi hiyo.?Hiyo inatokana na maximum re absorption of water from the loop of Henle ,hivyo mkojo unaotoka unakuwa na kiasi kidogo sana cha maji na solutes nyingi.
Kipindi cha mvua anatoa mkojo mweupe kwa sababu vinyweleo vinakuwa vimeziba kwa hakuna maji yanayopotea kupitia jasho.
Maji yote yanatolewa kwa mfumo wa mkojo na hii kwa namna moja au nyingine ndiyo inayochagiza watu kwenda msalani mara kwa mara kipindi cha mvua.
Inategemea na shughuli unazozifanya .Ahsante mkuu kwa maelezo hayo je inatokeaje ikawa maji natumia takiribani ni Lita nne na zaidi kwa siku lakini mkojo haubadiliki rangi hiyo.?
Hiyo ndiyo sababu mkuu.Bado maana mengi nayoelezewa ni kuhusu unywaji WA maji mengi kitu ambacho natumia kwa wingi zaidi
Nimeanza kuelewa somo sasa kwa bahati mbaya Sina kazi za kutumia nguvu, ila kuongea kwa sana tuInategemea na shughuli unazozifanya .
Kama unafanya shughuli nzito utakuwa unapoteza kiasi kikubwa sana cha maji.
Pia kuongea ongea kunapoteza sana maji kwa njia ya mvuke.
Sawa mkuu na ni nini kisababishacho pale ambapo nitakua nimetumia maji kiasi hichohicho cha kila siku na kutumia Lasix huwa unakua mweupe sa kunauhusiano gani hapo.,?Hiyo ndiyo sababu mkuu.
Kiasi kikubwa sana cha maji kinafyonzwa mwilini kwa hiyo maji yanayotoka yanakuwa ni kidogo lakini chumvuchumvi zinakuwa ni nyingi.