MY EYES
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 234
- 602
Mala nyingi mtu kutoa mkojo WA manjano na apimapo anakutwa Hana tatizo lolote na kushauliwa kutumia maji ya kutosha ila hata atumiapo maji hayo hakuna mabadiriko.
Ila cha ajabu wakati wa baridi na mvua mkojo wake huwa mweupe hata bila kunywa maji.
NINI CHAWEZA KUWA CHANZO YA HILI TATIZO NA MATIBABU YAKE NI YAPI.?
Ila cha ajabu wakati wa baridi na mvua mkojo wake huwa mweupe hata bila kunywa maji.
NINI CHAWEZA KUWA CHANZO YA HILI TATIZO NA MATIBABU YAKE NI YAPI.?