Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Maji mengi yanahitajika mwilini kwa ajili ya metabolic activities.Nimeanza kuelewa somo sasa kwa bahati mbaya Sina kazi za kutumia nguvu, ila kuongea kwa sana tu
Kwa hiyo unapokunywa maji , hayo maji yanafyonzwa yanapofika kwenye loop of Henle ili yakafanye kazi yake mwilini , reactions nyingi mwilini zinafanyika kwa kutegemea maji, ubongo unafanya kazi take vizuri kwa kutegemea maji, bonds nyingi ili zivunjike zinategemea uwepo wa maji nk.
Kwa hiyo ukinywa maji ya kutosha (excess water) mengi yatafyonzwa mwilini na mengine ambayo hayahitajiki yatatolewa nje kupitia njia ya mkojo.