Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IdiotMpenzi wako kuwa na mtu mwingine kimapenzi,au kuwa na hisia kwa mtu mwingine...?
inasemekana wanaume Enzi hizooo,walikuwa wanaumia wake zao wakifanya mapenzi na mtu mwingine sababu ya kutokua na uhakika wa watoto waliozaliwa kama wao(parteinity)....😀😀,hii inawafanya waumie wakiona wapenzi wao wako involved na mtu mwingine sexually..wanaumia hata kama hata wao wanachepuka...lol
Wanawake wanaumia pale wapenzi wao wakiwa involved kihisia/ na mtu mwingine,sababu wao as opposed to men,wana uhakika mimba walizobeba ni watoto wao😀😀 ila wanahitaji support kutoka kwa wanaume kuwalea watoto ,kipesa au time,So wakiona mwanaume yuko involved na mtu mwingine kihisia wanaumia na kuwa depressed sababu resources na attention zinapewa mchepuko.....
siku hizi mambo yamebadilika lakini,wote tunaumia with both infidelities,sexual and emotional (LOL)
nilikua ningependa kujua kipi kitakuuma;mpenzi wako akiwa na mtu mwingine kingono au kihisia....
je mnasupport hizo theories za babu zetu?lol Why?😀
Asantesitaki pressure mie,,,,
maumivu ni maumivu tu I we unachapiwa na umpendae au hana hisia nawe ,ndo utajua kwann dalali anaumia zaidi pale anapojua naye amedalaliwa.mapenzi yanauma.