Nini kitatokea endapo harmonize na Rich Mavoko wakiungana?

Murano

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
2,056
Reaction score
1,102

nauona mpambano mkali sana huku WCB kule Konde Gang hapa Kings Music aisee Bongo Flava itakua mbali saaaaaaana! ni mwendo wa hits tu jamani. Ngoja tuone
 
kama kuna king musi usisahau kuwaweka na msondo ngoma
kama msondo wa zaman basi tuwaweke mapacha watatu au malaika band
 
King music na rich wote hao huwezi beba ili ukashindane na wcb,maana kama ni silaha basi vijiko,,amchukue marioo,janjaro,nandy,maua,hanstone(na alikiba asimsahau)
 
nauona mpambano mkali sana huku WCB kule Konde Gang hapa Kings Music aisee Bongo Flava itakua mbali saaaaaaana! ni mwendo wa hits tu jamani. Ngoja tuone
muziki wa bongo bhnaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ me niko zangu napakua album ya indigo ya baba mdogo c breezy
 
King music na rich wote hao huwezi beba ili ukashindane na wcb,maana kama ni silaha basi vijiko,,amchukue marioo,janjaro,nandy,maua,hanstone(na alikiba asimsahau)
King music na rich wote hao huwezi beba ili ukashindane na wcb,maana kama ni silaha basi vijiko,,amchukue marioo,janjaro,nandy,maua,hanstone(na alikiba asimsahau)
eti na alikibaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…