Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama kuna king musi usisahau kuwaweka na msondo ngoma
nauona mpambano mkali sana huku WCB kule Konde Gang hapa Kings Music aisee Bongo Flava itakua mbali saaaaaaana! ni mwendo wa hits tu jamani. Ngoja tuone
nauona mpambano mkali sana huku WCB kule Konde Gang hapa Kings Music aisee Bongo Flava itakua mbali saaaaaaana! ni mwendo wa hits tu jamani. Ngoja tuone
King music na rich wote hao huwezi beba ili ukashindane na wcb,maana kama ni silaha basi vijiko,,amchukue marioo,janjaro,nandy,maua,hanstone(na alikiba asimsahau)
eti na alikiba😀😀😀😀😀King music na rich wote hao huwezi beba ili ukashindane na wcb,maana kama ni silaha basi vijiko,,amchukue marioo,janjaro,nandy,maua,hanstone(na alikiba asimsahau)
muziki wa bongo bhna[emoji3][emoji3][emoji3] me niko zangu napakua album ya indigo ya baba mdogo c breezy
Jamaa anakuzuga tu, unadhani anaipakua basi!Braza nielekeze jins gani na mm ntaweza ipakua hyo album
NENda www.songslover.pkBraza nielekeze jins gani na mm ntaweza ipakua hyo album